Hamisa Mobeto ana mchango gani kwenye sekta ya madini? Wizara ya Madini mjitafakari sana kuelekea TMIC2024

Wanatengeneza kizaz cha ovyooo

Ova
Sanaaaa!

Watu mpaka video zao zinavuja, Mobeto kapeleka shobo mpaka kwa Rick Ross. Mwamba kachapa mzigo!

Ili soko lake aliweke vizuri kaenda Turkey ku-pimp mwili wake uwe vizuri kwenye soko!

Wamepita watu wenye pesa zao na vigogo tofauti.

Kazalishwa na Diamond!

Halafu wanampa heshima kubwa kwenye mambo ya muhimu!

Kipindi Jokate alichaguliwa na Magu kuna watu kwenye vitengo vya Polisi na Jeshi Jwtz wali mind sana! Yaani unampigia saluti mwenye skendo zile zile!
 
Ndio serikali ilivyo,hili halina tofauti na suala la Mama Kizimkazi kusafiri na wasanii bongo movie Korea Kusini.
Siku zote huwa tunaenda kinyume nyume.
 
Kama wizara hii haijakaa sawa wanasahau kwamba wao ni taasisi ya kiserikali na sio taasisi binafsi.Mtajwa hapo juu ametajwa kama influencer ana mchango gani kwenye sekta ya madini?Ifike mahala tuwe serious na vitu vya kiserikali.Ndio ni binti mzuri na mrembo na mwenye kuvutia sana ila tukio husika haliendani na dhima ya yeye kuwekwa katika hilo tangazo.Wizara ya madini mjitafakari katika hili ,hapa walipaswa kuwekwa watu wenye mchango katika sekta Hamisa?????? Seriously hii nchi hatupo makini kabisa
 
Kama ukoo wenu hauna vizuri masikitiko
 
Next stop Wizara fulani xxxx influencer xxxx kutoka bongo movie.Jamani najua kuna kukonektiana ila angalieni mambo mengine yanakosa mantiki.Okay tukiuliza why mnamuita Hamisa na Sio Wema,lulu au Irene Uwoya mnaweza kutoa justification juu ya hili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…