Hamisa Mobeto ana mchango gani kwenye sekta ya madini? Wizara ya Madini mjitafakari sana kuelekea TMIC2024

Hamisa Mobeto ana mchango gani kwenye sekta ya madini? Wizara ya Madini mjitafakari sana kuelekea TMIC2024

Wanatengeneza kizaz cha ovyooo

Ova
Sanaaaa!

Watu mpaka video zao zinavuja, Mobeto kapeleka shobo mpaka kwa Rick Ross. Mwamba kachapa mzigo!

Ili soko lake aliweke vizuri kaenda Turkey ku-pimp mwili wake uwe vizuri kwenye soko!

Wamepita watu wenye pesa zao na vigogo tofauti.

Kazalishwa na Diamond!

Halafu wanampa heshima kubwa kwenye mambo ya muhimu!

Kipindi Jokate alichaguliwa na Magu kuna watu kwenye vitengo vya Polisi na Jeshi Jwtz wali mind sana! Yaani unampigia saluti mwenye skendo zile zile!
 
Ewaa! Ndiyo nilikuwa nakutafuta hivyo kwa wadau kama ninyi mnalionaje!

Hawa watu unajua wanafadhili biashara ya umalaya kwa wanawake pasipo kujua. Mabinti watauona umalaya unalipa kuuza nyau kwa wakubwa!

Hamisa anafanya mambo ya ajabu mengi na kazi yake haswa inafahamika. Halafu mwanamke huyu huyu wanampa mashavu makubwa kwenye jamii, hivi serikali huwa inawaza nini?! Mabinti wengine wataona umalaya unalipa na unapata mashavu mpaka serikalini. Hamisa si kama Kim Kardashian tu!

Halafu wadau wenyewe kama ninyi wanawaacha, aisee!
Ndio serikali ilivyo,hili halina tofauti na suala la Mama Kizimkazi kusafiri na wasanii bongo movie Korea Kusini.
Siku zote huwa tunaenda kinyume nyume.
 
Kama wizara hii haijakaa sawa wanasahau kwamba wao ni taasisi ya kiserikali na sio taasisi binafsi.Mtajwa hapo juu ametajwa kama influencer ana mchango gani kwenye sekta ya madini?Ifike mahala tuwe serious na vitu vya kiserikali.Ndio ni binti mzuri na mrembo na mwenye kuvutia sana ila tukio husika haliendani na dhima ya yeye kuwekwa katika hilo tangazo.Wizara ya madini mjitafakari katika hili ,hapa walipaswa kuwekwa watu wenye mchango katika sekta Hamisa?????? Seriously hii nchi hatupo makini kabisa
 
Nimeona Wizara ya Madini wameandaa mkutano wa TANZANIA MINING AND INVESTMENT CONFERENCE 2024 (TMIC2024)

Wameuita USIKU WA MADINI utakuwa 20th Nov 2024 Mlimani City Mall, DSM

Hamisa naye atakuwepo, nimeshangaa sana. Hivi kweli Wizara imekosa wachimbaji wakubwa wa kati na wadogo ili waje kutoa hamasa kwenye mkutano huo!

Kuna wanawake wengi tu wanafanya kazi kule migodini ambao walitakiwa kupewa kipaumbele.

Wapo wadada na akina mama wanaowekeza kwenye madini na wanayapambania mnakuja kubeba waigizaji?

Ajabu wametuletea Hamisa acha tuone hayo madini atakayotoa.

Na ikumbukwe huu ni mkutano wa kimataifa wa uwekezaji katika sekta ya madini.

Nikiwa kama mdau wa hii sekta hili jambo limenishangaza sana.

View attachment 3155006

Hili taifa linaendeshwa kishikaji sana
Kama ukoo wenu hauna vizuri masikitiko
 
Next stop Wizara fulani xxxx influencer xxxx kutoka bongo movie.Jamani najua kuna kukonektiana ila angalieni mambo mengine yanakosa mantiki.Okay tukiuliza why mnamuita Hamisa na Sio Wema,lulu au Irene Uwoya mnaweza kutoa justification juu ya hili?
 
Back
Top Bottom