Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
- Thread starter
- #121
Samson na DelilaThe power of K
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samson na DelilaThe power of K
Bosi wewe hujaelewa, yaani hivi vitu hata wewe unaweza jiweka yaani iko hivi kukiwa na tukio siku hizi imekuwa mtindo mtu kujitangaza kwa kuambatanisha na tukio, mfano kama wakuu wa taasisi walipoalikwa Arusha kila mmoja alikuwa anajiandika nitakuwepo, hivyo usimshambulie Hamisa
Umeongea kitaalamuKwanza jiulize huyu DEMU WAKE NANI? utaelewa kwamba na yeye ni dini
Hata mimi limenishangaza sana.
Si wangetuita hata sisi mkuu aisee ambao ni wadau!?
Wizara inaendeshwa na bishoo unategemea nn hapo
😂 dah nomaMgodi si ulikua Diamond Platinum
Wordtabu ya viongozi vijana ndio hiyo
Wee jamaa nina uhakika ni bright sana... Kiufupi we jamaa kichwani una kitu tena sio kidogoHuvaa hereni ,ni madini hayo. Ni mdau wa madini KWA namna hiyo.
Wanauchumi wana chingereza chao wanaita final consumer.
Ila kiukweli amesaidia kuupa promo huo mkutano
Kwa Wenyeji wa jiji hiyo wala sio story labda kama wewe mgeni wa jujiNimeona Wizara ya Madini wameandaa mkutano wa TANZANIA MINING AND INVESTMENT CONFERENCE 2024 (TMIC2024)
Wameuita USIKU WA MADINI utakuwa 20th Nov 2024 Mlimani City Mall, DSM
Hamisa naye atakuwepo, nimeshangaa sana. Hivi kweli Wizara imekosa wachimbaji wakubwa wa kati na wadogo ili waje kutoa hamasa kwenye mkutano huo!
Kuna wanawake wengi tu wanafanya kazi kule migodini ambao walitakiwa kupewa kipaumbele.
Wapo wadada na akina mama wanaowekeza kwenye madini na wanayapambania mnakuja kubeba waigizaji?
Ajabu wametuletea Hamisa acha tuone hayo madini atakayotoa.
Na ikumbukwe huu ni mkutano wa kimataifa wa uwekezaji katika sekta ya madini.
Nikiwa kama mdau wa hii sekta hili jambo limenishangaza sana.
View attachment 3155006
Hili taifa linaendeshwa kishikaji sana
Tuelewe neno mgodi sio?Teh teh teh labda naye ana Mgodi naamanisha MGODI
Nini kifanyike mkuu?Nchi inafanya mambo ya ovyo kabisa
Ova
Huenda hawara yake ndio kampa "pande"
🤣 🤣 🤣Au jaw crusher aka jogalasha🤣🤣
NakubaliSIYO Kishikaji,bali NI KIDANGAJI.
Mdau wa madiniSio kwamba atakuwepo kama mwanamuziki kutumbuiza?..
Anaalikwa kama nani?Hajavunja sheria, kanuni wala taratibu, ni mualikwa tu. Tatizo ninini?
Siku zote huwa tunaenda kinyume nyume