Na zari alivyo yule atakomaa mpka kieleweke,ila mimi sidhani kama yule n mtoto wa daimond shilawadu hao wakina suddy ndio wanayakuza n wanatafuta sababu tu ili wapate cha kusema maan,na hamisa amewakomesha sana amekaa kiya na akae hivyohvyo anayetaka picha atoe pesa..baba mtoto sijui anajisikiaje kusikia mtoto anapewa baba jamoniiiiniondoke ili kitokee nini labda? akitaka azae alete hapo nyumbani nalea na shule nitafungua .. uwii tena zari aongeze manjonjo
Hata mimi nashangaaa afu hamisa anajiona mjanjaa kamkomesha zari...keshazaa
Huwa wabantu issue ya diversity katika maisha yetu ya kawaida tulikutana huwa hatuna...unakuta umemfahamu mtu na kuelewana kwa kigezo cha kufanya kazi pamoja ajabu tunaingiza chuki mpaka kwenye maisha yake binafsi baada ya kazi mfano kama ikatokea mtu jioni analewa mpaka anatambaa lakini kesho asubuhi anawahi kazini na kupiga kazi kama kawa lakini bado watu watamnyanyapaa
Ndo kwa hii issue yaani jamaa anamchukia mshikaji wakati muziki wake ndo ulimfanya amfuate hayo mambo mengine ni ya kwake
Nimetunga nini mdau mbona sikuelewi..hiyo ni statement tu ya kukazia maelezo haina uhalisia kivileUnatia huruma kwa kupenda kutunga uongo juu ya mtu.
Hamisa mswahili sana kiboko yake ni lulu tuu ,,,sema familia inaonyesha inamkubali hamisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ww nenda basi ukamzalie jamaa ili usionekane tasa! Akili za wanawake sometimes huwa ni fupi sana!Ahsante hamisaa kwa kutuwakilisha vyema wadada wanawake wa kibongo maana tulionekana matasa wotee...!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Zari ni nani hapa?Na ww nenda basi ukamzalie jamaa ili usionekane tasa! Akili za wanawake sometimes huwa ni fupi sana!
shilawadu wamethibitisha kwa kipimo gani ama wana mashine ya d.n.a
upuuzi kama upuuzi mwingine
Sio wanawake wote...WANAWAKE WAJINGA ......kujirahisha tu..hovyo sasa hapo kapata nncha ziada..mtoto mdogo kujizalisha kila mtoto na babake....Na ww nenda basi ukamzalie jamaa ili usionekane tasa! Akili za wanawake sometimes huwa ni fupi sana!
Kasoma tandika sekondari unategemea nini..Hamisa mswahili sana kiboko yake ni lulu tuu ,,,sema familia inaonyesha inamkubali hamisa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji106]Pole jamaan ila ungempenda yeye tu na kazi zake hayo madrama yake ungemuachia aangaike nayo mwenyewe
Pole we ndo coffee and table??Anatia aibu, kama mmoja wa mashabiki wake wakubwa wa humu ni bye bye Abdul Naseeb.
View attachment 569108
View attachment 569107
The fall of him, huyu dogo tuhesabu siku tu. Nyimbo zenyewe anawaiga sana wapopoDiamond anakataa for the sake of his music business. Otherwise he knows that the child is his.
atakuwa hana amani na nadani mahusiano yao yana misuko sukoNa zari alivyo yule atakomaa mpka kieleweke,ila mimi sidhani kama yule n mtoto wa daimond shilawadu hao wakina suddy ndio wanayakuza n wanatafuta sababu tu ili wapate cha kusema maan,na hamisa amewakomesha sana amekaa kiya na akae hivyohvyo anayetaka picha atoe pesa..baba mtoto sijui anajisikiaje kusikia mtoto anapewa baba jamoniiii
ha ha ha dai kanifanya nikatafute dictionary hii vocabulary nilikuwa sina kabisa "FAME" dai jamani
Bibie acha nikufuate chemba...sio kwa akili hizi umenivuta sana.Sio wanawake wote...WANAWAKE WAJINGA ......kujirahisha tu..hovyo sasa hapo kapata nncha ziada..mtoto mdogo kujizalisha kila mtoto na babake....
Angetulia apate bwana wa maana amuoe..na hili ni funzo kwa wanaume...kuna wanawake ni wajinga yuko tyr ategeshe mimba ili kupata kiki..sifa...halafu baadae wanalia single mother...single mother nyokost nyokost...waache waendelee kufunua chupi...
Huyo hamisa mamake alimzaa akiwa under 18...sasa nae anaendeleza ukahaba
Sasa wewe ulitaka mtoto amtupe....kama umri unamruhusu na kajisikia kuzaa kwa nini asizae kwani dunia nzima watoto wote mama zao wameolewa acha ujinga pambana na haliyako......sembuse mumeo nae uko kazaa nje. Wewe umeona kuvua chup tu wale ni wasanii waache waishi kisanii wewe kwani inakuuma nini.Bibie acha nikufuate chemba...sio kwa akili hizi umenivuta sana.