Hamisa Mobeto athibitisha kuzaa na Diamond

Hamisa Mobeto athibitisha kuzaa na Diamond

niondoke ili kitokee nini labda? akitaka azae alete hapo nyumbani nalea na shule nitafungua .. uwii tena zari aongeze manjonjo
Na zari alivyo yule atakomaa mpka kieleweke,ila mimi sidhani kama yule n mtoto wa daimond shilawadu hao wakina suddy ndio wanayakuza n wanatafuta sababu tu ili wapate cha kusema maan,na hamisa amewakomesha sana amekaa kiya na akae hivyohvyo anayetaka picha atoe pesa..baba mtoto sijui anajisikiaje kusikia mtoto anapewa baba jamoniiii
 
20837683_111062086244901_5057788045076463616_n.jpg
 
Huwa wabantu issue ya diversity katika maisha yetu ya kawaida tulikutana huwa hatuna...unakuta umemfahamu mtu na kuelewana kwa kigezo cha kufanya kazi pamoja ajabu tunaingiza chuki mpaka kwenye maisha yake binafsi baada ya kazi mfano kama ikatokea mtu jioni analewa mpaka anatambaa lakini kesho asubuhi anawahi kazini na kupiga kazi kama kawa lakini bado watu watamnyanyapaa

Ndo kwa hii issue yaani jamaa anamchukia mshikaji wakati muziki wake ndo ulimfanya amfuate hayo mambo mengine ni ya kwake

Unatia huruma kwa kupenda kutunga uongo juu ya mtu.
 
Sikili zeni vyema Wimbo wa Michael Jackson Alipo singiziwa kama Diamaond..aliyunga wimbo huu Billie Jean no my son
 
Na ww nenda basi ukamzalie jamaa ili usionekane tasa! Akili za wanawake sometimes huwa ni fupi sana!
Sio wanawake wote...WANAWAKE WAJINGA ......kujirahisha tu..hovyo sasa hapo kapata nncha ziada..mtoto mdogo kujizalisha kila mtoto na babake....
Angetulia apate bwana wa maana amuoe..na hili ni funzo kwa wanaume...kuna wanawake ni wajinga yuko tyr ategeshe mimba ili kupata kiki..sifa...halafu baadae wanalia single mother...single mother nyokost nyokost...waache waendelee kufunua chupi...
Huyo hamisa mamake alimzaa akiwa under 18...sasa nae anaendeleza ukahaba
 
Hamisa mswahili sana kiboko yake ni lulu tuu ,,,sema familia inaonyesha inamkubali hamisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kasoma tandika sekondari unategemea nini..
Mamake mwenyewe kahaba ..unategemea nini...na alimzaa hamisa akiwa under 18 unategemea nn...maji hufata mkondo..
Nachukia sana wasichana wasiojitambua
 
Na zari alivyo yule atakomaa mpka kieleweke,ila mimi sidhani kama yule n mtoto wa daimond shilawadu hao wakina suddy ndio wanayakuza n wanatafuta sababu tu ili wapate cha kusema maan,na hamisa amewakomesha sana amekaa kiya na akae hivyohvyo anayetaka picha atoe pesa..baba mtoto sijui anajisikiaje kusikia mtoto anapewa baba jamoniiii
atakuwa hana amani na nadani mahusiano yao yana misuko suko
 
Sio wanawake wote...WANAWAKE WAJINGA ......kujirahisha tu..hovyo sasa hapo kapata nncha ziada..mtoto mdogo kujizalisha kila mtoto na babake....
Angetulia apate bwana wa maana amuoe..na hili ni funzo kwa wanaume...kuna wanawake ni wajinga yuko tyr ategeshe mimba ili kupata kiki..sifa...halafu baadae wanalia single mother...single mother nyokost nyokost...waache waendelee kufunua chupi...
Huyo hamisa mamake alimzaa akiwa under 18...sasa nae anaendeleza ukahaba
Bibie acha nikufuate chemba...sio kwa akili hizi umenivuta sana.
 
Bibie acha nikufuate chemba...sio kwa akili hizi umenivuta sana.
Sasa wewe ulitaka mtoto amtupe....kama umri unamruhusu na kajisikia kuzaa kwa nini asizae kwani dunia nzima watoto wote mama zao wameolewa acha ujinga pambana na haliyako......sembuse mumeo nae uko kazaa nje. Wewe umeona kuvua chup tu wale ni wasanii waache waishi kisanii wewe kwani inakuuma nini.

Kumbuka pia Diamond hajakuli wala hamisa hajakili ni mambo ya mtandao tu sasa sijui pov la nini mwacheni yeye sio wa kwanza kuzaa nje ya ndoa nyi wenyew mliondani ya ndoa mnalia kilasiku daadek Uganda Baby Vs Tanzania Baby
 
Back
Top Bottom