Hamisa Mobeto: Nilidungwa mimba mara tatu na Diamond

akili za wasimbe huwa za ajabu sana
 
Mficha uchi hazai
 
Ni Jambo zuri,mzee Abdul analipiwa na mobeto
 
Una hakika?

Ndio nina uhakika.

Mobetto amenunua range rover mpya mwaka huu. Na plate namba kaandika jina lake mobetto kwa kulipia milioni 5 ya namba jina TRA.

Unafikiri hizo hela ameongwa ?

Kuna wanawake kibao wazuri kuliko mobetto na hata hawajazaa na wengine wameshinda mpaka Miss Tanzania. Mbona hawaongwi hayo ma Range rover ? kama kuhongwa ni rahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…