Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Hao ni wasanii kama jina lao la kaziNdio nina uhakika.
Mobetto amenunua range rover mpya mwaka huu. Na plate namba kaandika jina lake mobetto kwa kulipia milioni 5 ya namba jina TRA.
Unafikiri hizo hela ameongwa ?
ETI KULINDA MASLAHI YA MTOTO...MAMLAKA YA SERIKALI INADANGANYA MATOKEO YA DNA...NA KUMBAMBIKIZA MTOTO KWA ASIYE BABA YAKE KWELI...
KWAHIYO MAMLAKA HIZO ZIMECHUKUA AKILI ZA HUYO MALAYA NA WENYEWE WAKAWA NA AKILI HIZO HIZO KUMNYIMA MTOTO KUWA NA BABA YAKE HALISI...
ETI KUPUNGUZA WATOTO WA MITAANI NDIO TUDANGANYE WATOTO HUYU NI BABA YAKO SIO YULE...! HALI YA KUWA YULE NDIYE BABA YAKE HALISI...
WANATENGENEZA DOGO WANAHARIBU KUBWA ZAIDI...PUMBAVU KABISA...
Mbunge mmoja huko moro ndio kakaa hapoNdio nina uhakika.
Mobetto amenunua range rover mpya mwaka huu. Na plate namba kaandika jina lake mobetto kwa kulipia milioni 5 ya namba jina TRA.
Unafikiri hizo hela ameongwa ?
Nakuona Mobetto a.k.a mama Dylan
Nakuona Mobetto a.k.a mama Dylan
Umalaya Wa faidaAnapata deals kubwa kubwa tu
Kutangaza belaire kalamba milioni kazaa
Kwenye promo ya tigo ya wa kishua yupo yeye mobetto, millard ayo, mario, fei toto na manula.
Kila mmoja kalamba zaidi ya milioni 50 from tigo.
Bado deals zake mobetto na makampuni ya nywele za wanawake..
Yaani kwa ufupi mobetto ni malaya mjanja sana.. juzi juzi tu alikuwa nigeria kwenye event ya dstv na sound city kama host. Kalamba hela za kutosha tu from dstv
Hapo kazaa na majizo
Kazaa na diamond
Kote huko kwenye mirathi anaingia na child support zao anakula na ada analipiwa.
Watoto wake hawasomi kayumba na wana uhakika wa maisha
Wanaogopa wahudumu wa hotel wanavujisha habari Kwa Mange Ndo maana siku hizi wanaliwa huko majuuMobetto kaliwa na Bro wangu wa kazini. Dem alianza hapa bongo hawezi kuingi hotelin jamaa akajua dem anazingua akamwambia tunaenda south. Demu hakuchomoa wakaenda south akaliwa, hawa masupastaa ni dau lako tu. Tena huwezi kuwala kama hujapitia kwa maagent wao[emoji119][emoji119]
Hata billnass hajalazimishwa mtotoWewe Mondi kishapima DNA zamani, ndio maana sasa hivi hata hela child hatoi. Zigo sasa hivi la huyo mtoto analazimishwa Billnass alibebe, kuna kipindi Mama yake Diamond alimponda kwenye insta "tusilazimishe undugu ".
Sasa kama kweli kisheria ni wa Mondi why kwa nini mpaka sasa Mobetto hajamshtaki Mondi?
Why kwa nini zigo analazimishwa Billnass?
Daimond na mama Ake km waliweza kusema Abdul sio baba wa Nassib pale ndo niliwadharau Mimi so wako tayari Kwa lolote Ili wabaki midomoni mwa watuACHANA NA HEAR SAY. FATILIA MAHAKAMA ILIAMUA VIPI SEKE SEKE LAO. SHERIA ILISEMA MTOTO NI WA NANI NA APEWE MATUNZO NA NANI.
HUJUI KAMA HAMISA NA DIAMOND WALIPELEKANA MAHAKAMANI SABABU YA HUYO MTOTO
Mwanamuziki Diamond Platnumz amemkubali mtoto aliyezaa na na Hamisa Mobeto na amesema jina alilotaka apewe mtoto huyo ni Dylan lakini kwa sababu za kutafuta umaarufu mwanamke huyo alimwita Abdul Nassib.
Amesema Hamisa alimwita mtoto huyo Abdul ambalo ni jina la baba yake mzazi ili iwe rahisi watu kufahamu kuwa mtoto huyo ni wa kwake baada ya kukubaliana kufanya uhusiano wao kuwa wa siri.
"Tulikubaliana na Hamisa Mobeto kuwa ujauzito huo usitangazwe kuwa ni wa kwangu, na alikubali lakini akawa anatangaza.
"Mpaka Mobeto anajifungua, nilikuwa nampa 70k kila wiki, nilimnunulia RAV4 na kabla hajajifungua nilimpa Tsh 7m ya kununua vitu.
"Sio kweli kwamba nilimkataa mtoto kama Hamisa anavyodai, bali alikuwa anatuma watu ili niseme sijamkataa watu wajue kuwa ni wangu.
"Zari anajua kuhusu mtoto wangu na Mobeto na hana tatizo, ila Mobeto anatengeneza mazingira nigombane na Zari kitu ambacho sitafanya.
"Wakati anajifungua nilimpa $3,500, nikamtafutia hospitali binafsi na baada ya kujifungua, nilimuomba mama yangu akamuone mjukuu
"Siku Hamisa Mobeto anajifungua sikuwepo Tanzania na niliporudi nilikwenda kumuona mwanangu na kulala naye hadi asubuhi.
“Mimi jina ninalolitambua ni Dylan hata niliposikia wamemwita Abdul nilisema poa tu lakini akija kwangu nitamwita ninalolitaka mimi kwa sababu nataka aitwe DD (D Square).” Amesema Diamond
Amesema alisikitishwa pia na kitendo cha mwanamke huyo kumualika baba yake katika sherehe ya kutimiza siku arobaini ya mtoto huyo akimdanganya kuwa angekuwepo.
“Walimwalika mzee Abdul na nguo wakampelekea ili ahudhurie, yote hiyo ili mradi tu wapate cha kuzungumziwa mitandaoni,” amesema.
Alitoa HAMISA alizaa Baada ya kuambiwa na bi Sandra amzalie Mondi Ili amkomoe Zari maana walijua Zari ni tishioZilitoka au ALITOA
Dah we jamaa una ufala sana.Ndo maana ake,
Tena hiyo Ni kwa jijini dar,
Mikoani Ni debe la mahindi na elfu 15 cash mwezi mzima[emoji4]
Habari ya Mda sana hyo bestie,Kwa Sasa HAMISA hakuna intavyuu anataja Ile familiaUyo dem inaonekana anamkubal sana mondi ila sasa jamaa ni fucker tu hana habari nae.
Status mjini[emoji1][emoji1][emoji1]Kwa hiyo jamaa akampandisha ndege hadi kwa madiba kisa papuchi!
Ni ushamba ama nini?!
Hujui kitu brother[emoji23][emoji23][emoji23]Sasa ndio hamuhudumii sasa hivi na mtoto kishampeleka mpaka kwa Billnass,ila Billnass kamtuliza ndoa yake bado changa.
Halafu why HUTAKI KUMZUNGUMZIA BABA YAKE HALISI BILLNASS au kwakuwa Mondi ana hela.
Unamuamini Mpoki [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]pole sanaMtoto yule alikubaliwa bila DNA na lile tukio mwanzo mpaka mwisho liliripotiwa na akina Soudybrown,Diamond akaa baadae watu wakamchana akaamua kwenda kuhakikisha kupima DNA na kugundua mtoto sio wake.
Sasa kama hujui mtoto ni wa Billnass na kama hujui Billnass na Mobetto kunawaka huko,MONDI KAKATA HUDUMA ZOTE HATOI HATA SENTI.
Sikulazimishi maana unaonekana ni mbishi ila hiki ninacho kwambia nina uhakika nacho ,yule mtoto hana chake kwa Mondi. Hizi tetesi nilizisikia zamani, nikaja kugundua ni kweli baada ya mama yake Mondi kumwambia asilazimishe undugu na juzijuzi tu hapo Mpoki ndio akamaliza kila kitu. So kama unabisha endelea kubisha .
Msikilize hapo .
Hakuwahi kumposti billnassKitendo Cha kugombana kdg na Diamond
Akaanza kumpost Dylan na billnass plus caption kibao za makopa kopa Ni upuuz usiovumilika kwa Mwanaume anaejitambua.
Kwa akili ya haraka haraka
Lzm ujue Huyu Mtoto nmepigwa, aliepostiwa ndo baba halisi ukzngatia kapost kusudi ili aumie roho.
Tukumbuke:
mwanamke mwenye hasira ndo huongea kweli
Mbona ubunge ni kazi ya hela mbuziMbunge mmoja huko moro ndio kakaa hapo