Hamisa Mobeto: Nilidungwa mimba mara tatu na Diamond

Hamisa Mobeto: Nilidungwa mimba mara tatu na Diamond

ETI KULINDA MASLAHI YA MTOTO...MAMLAKA YA SERIKALI INADANGANYA MATOKEO YA DNA...NA KUMBAMBIKIZA MTOTO KWA ASIYE BABA YAKE KWELI...

KWAHIYO MAMLAKA HIZO ZIMECHUKUA AKILI ZA HUYO MALAYA NA WENYEWE WAKAWA NA AKILI HIZO HIZO KUMNYIMA MTOTO KUWA NA BABA YAKE HALISI...

ETI KUPUNGUZA WATOTO WA MITAANI NDIO TUDANGANYE WATOTO HUYU NI BABA YAKO SIO YULE...! HALI YA KUWA YULE NDIYE BABA YAKE HALISI...

WANATENGENEZA DOGO WANAHARIBU KUBWA ZAIDI...PUMBAVU KABISA...



Wanakosea sana !

Ni kukosa uadilifu wa kazi yao.
 
Anapata deals kubwa kubwa tu

Kutangaza belaire kalamba milioni kazaa

Kwenye promo ya tigo ya wa kishua yupo yeye mobetto, millard ayo, mario, fei toto na manula.

Kila mmoja kalamba zaidi ya milioni 50 from tigo.

Bado deals zake mobetto na makampuni ya nywele za wanawake..

Yaani kwa ufupi mobetto ni malaya mjanja sana.. juzi juzi tu alikuwa nigeria kwenye event ya dstv na sound city kama host. Kalamba hela za kutosha tu from dstv

Hapo kazaa na majizo

Kazaa na diamond

Kote huko kwenye mirathi anaingia na child support zao anakula na ada analipiwa.

Watoto wake hawasomi kayumba na wana uhakika wa maisha
Umalaya Wa faida
Maana waswahili wanasema ukitaka kula nguruwe kula aliyenonaaa....

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mobetto kaliwa na Bro wangu wa kazini. Dem alianza hapa bongo hawezi kuingi hotelin jamaa akajua dem anazingua akamwambia tunaenda south. Demu hakuchomoa wakaenda south akaliwa, hawa masupastaa ni dau lako tu. Tena huwezi kuwala kama hujapitia kwa maagent wao[emoji119][emoji119]
Wanaogopa wahudumu wa hotel wanavujisha habari Kwa Mange Ndo maana siku hizi wanaliwa huko majuu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wewe Mondi kishapima DNA zamani, ndio maana sasa hivi hata hela child hatoi. Zigo sasa hivi la huyo mtoto analazimishwa Billnass alibebe, kuna kipindi Mama yake Diamond alimponda kwenye insta "tusilazimishe undugu ".

Sasa kama kweli kisheria ni wa Mondi why kwa nini mpaka sasa Mobetto hajamshtaki Mondi?

Why kwa nini zigo analazimishwa Billnass?
Hata billnass hajalazimishwa mtoto
Ujue kwa alipofikia HAMISA Kwa Sasa amempuuza tu Mondi na hataki hizo drama
Hyo intavyuu ya miaka mingi kipindi hicho HAMISA nadhani Bado ana akili za kitoto na kishamba
Kwa Sasa HAMISA huyu sio yule wa kipindi kile kutukannwa na ukoo mzima na Bado anaenda kuliwa na Mondi
HAMISA wa Sasa amekaa kimya anawaona wote wapuuzi tu kuhusu DNA mwanzoni walipima walitaka wakapime Tena HAMISA amekataa na sio yeye hata Mimi km nna hakika mtoto ni wako ukisema DNA nakataa asee kama kumkataa mkatae wangapi wanekataliwa wamelelewa single mama na wanafanikiwa
Amechoka na drama za bi Sandra na wanawe,wale hawajitambui they are dying for fame ndo maana yule mama na mwanawe waliweza kwenda kwenye Radio wakasema diamond sio mtoto wa Mzee Abdul aliolewa na Mimba tu ila Mzee Abdul uliona hekima aliyotumia?na Ndo uzazi ulivyo brother...
Kwa Sasa Missa Yuko too far from dramas anafanya umalaya wake kimpango wake Ile familia Iko tayari Kwa lolote Ili tubaki wabaki juu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
ACHANA NA HEAR SAY. FATILIA MAHAKAMA ILIAMUA VIPI SEKE SEKE LAO. SHERIA ILISEMA MTOTO NI WA NANI NA APEWE MATUNZO NA NANI.

HUJUI KAMA HAMISA NA DIAMOND WALIPELEKANA MAHAKAMANI SABABU YA HUYO MTOTO


Mwanamuziki Diamond Platnumz amemkubali mtoto aliyezaa na na Hamisa Mobeto na amesema jina alilotaka apewe mtoto huyo ni Dylan lakini kwa sababu za kutafuta umaarufu mwanamke huyo alimwita Abdul Nassib.

Amesema Hamisa alimwita mtoto huyo Abdul ambalo ni jina la baba yake mzazi ili iwe rahisi watu kufahamu kuwa mtoto huyo ni wa kwake baada ya kukubaliana kufanya uhusiano wao kuwa wa siri.

"Tulikubaliana na Hamisa Mobeto kuwa ujauzito huo usitangazwe kuwa ni wa kwangu, na alikubali lakini akawa anatangaza.

"Mpaka Mobeto anajifungua, nilikuwa nampa 70k kila wiki, nilimnunulia RAV4 na kabla hajajifungua nilimpa Tsh 7m ya kununua vitu.

"Sio kweli kwamba nilimkataa mtoto kama Hamisa anavyodai, bali alikuwa anatuma watu ili niseme sijamkataa watu wajue kuwa ni wangu.

"Zari anajua kuhusu mtoto wangu na Mobeto na hana tatizo, ila Mobeto anatengeneza mazingira nigombane na Zari kitu ambacho sitafanya.

"Wakati anajifungua nilimpa $3,500, nikamtafutia hospitali binafsi na baada ya kujifungua, nilimuomba mama yangu akamuone mjukuu

"Siku Hamisa Mobeto anajifungua sikuwepo Tanzania na niliporudi nilikwenda kumuona mwanangu na kulala naye hadi asubuhi.

“Mimi jina ninalolitambua ni Dylan hata niliposikia wamemwita Abdul nilisema poa tu lakini akija kwangu nitamwita ninalolitaka mimi kwa sababu nataka aitwe DD (D Square).” Amesema Diamond

Amesema alisikitishwa pia na kitendo cha mwanamke huyo kumualika baba yake katika sherehe ya kutimiza siku arobaini ya mtoto huyo akimdanganya kuwa angekuwepo.

“Walimwalika mzee Abdul na nguo wakampelekea ili ahudhurie, yote hiyo ili mradi tu wapate cha kuzungumziwa mitandaoni,” amesema.


Daimond na mama Ake km waliweza kusema Abdul sio baba wa Nassib pale ndo niliwadharau Mimi so wako tayari Kwa lolote Ili wabaki midomoni mwa watu
Kwa Sasa HAMISA ameamua afanye mambo yake nje ya kiki za kina Mondi ndo maana wanamsingizia mambo kibao na Wala hawajibu amekaa kimya ndo wanapoumia hapo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Zilitoka au ALITOA
Alitoa HAMISA alizaa Baada ya kuambiwa na bi Sandra amzalie Mondi Ili amkomoe Zari maana walijua Zari ni tishio
Baada ya kuzaa tu wakaenda Aga Khan kutazama mtoto ndo bifu lilianzia hapo wakadai HAMISA kapeleka shilawadu kumchunguza bi Sandra wakati wao wenyewe ndo walipanga Kila kitu Ili Zari ajue,akasirike aachane na Mondi the rest nadhani wajua kilichotokea
Ukweli bi Sandra hataki mwanawe aoe anahofu kuhusu Mali tu kugawana na mwanamke

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Sasa ndio hamuhudumii sasa hivi na mtoto kishampeleka mpaka kwa Billnass,ila Billnass kamtuliza ndoa yake bado changa.

Halafu why HUTAKI KUMZUNGUMZIA BABA YAKE HALISI BILLNASS au kwakuwa Mondi ana hela.
Hujui kitu brother[emoji23][emoji23][emoji23]
Pole sana punguza chuki na watoto wa kike
Maendeleo ya mwanamke yapo aina mbili auze uchi afanikiwe au kuolewa au apambane atoboe na kurithi
Yeye anauza ametoboa
Wewe komaa mwanaume

Acheni upotoshaji

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mtoto yule alikubaliwa bila DNA na lile tukio mwanzo mpaka mwisho liliripotiwa na akina Soudybrown,Diamond akaa baadae watu wakamchana akaamua kwenda kuhakikisha kupima DNA na kugundua mtoto sio wake.

Sasa kama hujui mtoto ni wa Billnass na kama hujui Billnass na Mobetto kunawaka huko,MONDI KAKATA HUDUMA ZOTE HATOI HATA SENTI.

Sikulazimishi maana unaonekana ni mbishi ila hiki ninacho kwambia nina uhakika nacho ,yule mtoto hana chake kwa Mondi. Hizi tetesi nilizisikia zamani, nikaja kugundua ni kweli baada ya mama yake Mondi kumwambia asilazimishe undugu na juzijuzi tu hapo Mpoki ndio akamaliza kila kitu. So kama unabisha endelea kubisha .

Msikilize hapo .
Unamuamini Mpoki [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]pole sana
Eti bi Sandra kaandika huyu aliesema diamond sio mtoto wa Mzee Abdul baba Ake Mzee Salum Nyange
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Duh
Nadhani enzi anasoma Tandika alikukataa weye maana sio kumkomalia huko HAMISA wa watu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kitendo Cha kugombana kdg na Diamond

Akaanza kumpost Dylan na billnass plus caption kibao za makopa kopa Ni upuuz usiovumilika kwa Mwanaume anaejitambua.

Kwa akili ya haraka haraka
Lzm ujue Huyu Mtoto nmepigwa, aliepostiwa ndo baba halisi ukzngatia kapost kusudi ili aumie roho.

Tukumbuke:
mwanamke mwenye hasira ndo huongea kweli
Hakuwahi kumposti billnass
Maana Billnas na mtoto
Sio kweli

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom