Hamisa Mobeto: Nilidungwa mimba mara tatu na Diamond

Wewe jamaa mtu analeta reference statement ya mahakama na wewe unaleta reference sudy brown na mpoki!

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Huyo aliyeleta hizo statement zipo wapi?
Kwani Coverage ya Mimba ya Hamisa na Mondi ilifanywa na kina nani, maana kuanzia hospitalini mpaka huko mahakamani wakina Soudybrown walikuwa wanapost mpaka video.

Sasa ww ulitaka Reference zipi maana hizo zipo recorded.
 
Diamomd na Zari walioana lini?
 
Kuwa na followers instagram milioni 10 kwa mwezi. Ni zaidi ya mtaji.

Mobetto kwa mwaka anatengeneza zaidi ya milioni mia moja kwa dili anazopata kupitia hao followers milioni 10
Mhhhh nyie mil 100,acheni masihala maisha madada zetu tuna yajua hebu ipe heshima mil 100.
 
Kwan hamisa anategemea child support? Mnajidanganyaaa
Wapuuzi Hawa Yaani pale alipo ategemee child support hivi Nini Sasa maana yakua brand ambassador wa kampuni kubwa kubwa?!
Hata kama Hana akili Missa not to that extent bwanaaa...Kwa Sasa anajitambua Sema tu wanaume wa jf Baadhi Wana hasira na kuzungusha vibahasha na elimu zao ajira Hawana stress wanatolea Kwa watoto wa Watu!Acheni wadange K za kwako km rahisi na wao wakadange Kwa Mondi na majay
 
Hata Mimi huwa nashangaa kwakweli hamisa kwa sasa yupo njema kiasi chake.
 
Yaweza isifike but at least 10m anafka brooo!!
Nyinyi hebu acheni masihala bongo Movie hawa wana hali mbaya kidogo wema ana mkataba na DSTV unambeba,ila hizi acc hata wema mwenyewe hapati hiyo hela,bahati nzuri baadhi yao maisha yao tunayajua.

Kama hiyo 10m kupata angepata Wema,Wema ana followers wengi na mkataba wa mda mrefu na DSTV na bado kaenda kupanga Mbagala huko,husifanye masihala na 10m.

Nyie mil 10 per Month........... acha masihala kabisa.

Maisha ya wasanii 25% ndio ukweli 75% uongo mtupu.
 
Kwahiyo tuache kujadili mambo ya msingi, tijadili nyabe ya huyu bichi sio....😎
 
Uko sahihi
 
Ni Hamisa ndiyo alienda mahakamani kuomba child support
 
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Unaweza kua sahihi ila unaweza usiwe sahihi pia wapo wasanii wapo njema Mmoja wapo aunty Ezekiel ingawa watu wanamuona mbwiga Fulani....
Huyooo nna uhakika nae 100%kama anadanga anadanga Kwa akili hasaa...anajiweza kiuchumi!!
Kuhusu akaunti ni wewe utakavoitumia ndo itakulipa pia...ukijirahisi utatumika kirahisi ukijibrand pia utabrandiwa vzr
 
Nyinyi mnapendwa kudanganywa na hawa mabinti,sasa huyu Anti Ezakiel ana nini.

Hivi ushajiuliza kwa nini ugomvi wa bongo Movie wengi na hawa wadangaji wa insta huwaga ni wa kugombania wanaume (madanga) na kuna wengine wanafikia hatua ya kuto ongea kabisa.

Na bahati Mbaya 70% ya hawa wasanii wa bongo Movie wa kike hawana vipaji, ila uzuri,matako na mashape ndio siku hizi wana ya tizama madirector na si talent na siku hizi wengine wanaangalia nani ana trend social networks.

Hamisa alikuwa na duka la nguo za watoto sasa hivi lipo wapi,Uwoya na Aunt walikuwa na grocery zipo wapi sasa hivi, Wema alikuwa na mpaka na kampuni ya kutengeneza Movie akapanga mpaka nyumba Kinondoni kama ofisi ya kampuni yake sasa hivi yupo wapi, list ni ndefu.
 
aunt si atakuwa ana wash hela za wale vijana walidakwa na sembe kg 30
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…