Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Kwani wee source yake ndo kudanga?? Alikudangia wee? Au mnadanga wote??
Hata asojua kusoma akiona picha tu anaelewa kuwa Hamisa ni Mdangaji.!
Refer to “ Invitation to treat “
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wee source yake ndo kudanga?? Alikudangia wee? Au mnadanga wote??
Umejuaje?Mirathi diamond hana mali zote ziko jina la mama yake
Siyo kweliNdio alienda kipindi kile Sasa hivi kasema mtoto sio wake umeona HAMISA anamkohoa mondi?kampotezea TU
Nina mdogo wangu ni rafiki n'a esmaUmejuaje?
Mirathi ipi wakati mali zote ameandikiwa Bi Sandra, angekua na akili angepambana kulra watoto wake aache kuanika nyuchi mitandaoni umri unaendaUpumbavu wake utaonekana kwenye mirathi.
Mobetto sio mjinga anajua anachokifanya.
Vita ya kujikomboa na umaskini inapiganwa kwa njia nyingi sana
Nimesema hapo hili wanabishiaMirathi ipi wakati mali zote ameandikiwa Bi Sandra, angekua na akili angepambana kulra watoto wake aache kuanika nyuchi mitandaoni umri unaenda
Wachaa weeHata asojua kusoma akiona picha tu anaelewa kuwa Hamisa ni Mdangaji.!
Refer to “ Invitation to treat “
Daimond Mali zake Zile potential kamuandika mama yake Hilo linajulikana mbonaUmejuaje?
Mdangaji anamjua mdangaji mwenziwe[emoji1][emoji2] wanaume wa jf Wana wivu na maishaa ya watu kuliko ya kwao na wanatamani wengine humu wangekua wanawake daimond awakazeWachaa wee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baba levo ndo anataka na kuzaa kabisaaMdangaji anamjua mdangaji mwenziwe[emoji1][emoji2] wanaume wa jf Wana wivu na maishaa ya watu kuliko ya kwao na wanatamani wengine humu wangekua wanawake daimond awakaze
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]vijana wa kiume wa Siku hizi wengi hawana tofauti na dada zao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baba levo ndo anataka na kuzaa kabisaa
Haswaaaaah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]vijana wa kiume wa Siku hizi wengi hawana tofauti na dada zao
Kwa sheria ipi ya mirathi?Upumbavu wake utaonekana kwenye mirathi.
Mobetto sio mjinga anajua anachokifanya.
Vita ya kujikomboa na umaskini inapiganwa kwa njia nyingi sana
Watanzania mnajifanya mnajua SHERIA kumbe wapi..... Kingine wanaotoa ruhusa kupima kwa DNA ni Mahakama,Wakili,Ustawi wa jamii au mkuu wa wilaya kama sikosei....na hulazimishwi kukubali na rufaa piaSheria hairukwi kwa maneno ya hear say.
Mahakama ikishagonga hukumu ndio imetoka.
Uhalisia ni kwamba Tanzania ukienda kupima DNA na mtoto yeyote wewe baba unaambiwa ni wa kwako. Na mobetto alikuwa analijua hilo ndipo alipomshinda diamond kisheria.
Diamond hana ujanja kisheria kuhusu yule mtoto . Uliza wanasheria ama hakimu akufunze
Wote hao wakitoa amri ya kwenda kupimwa DNA mtaenda kwa Mkemia Mkuu wa Serikali huko.Unadhani majibu yatakuja kuwa huyu mtoto si wake? Usipokubaliana na majibu ya Mkemia Mkuu utakata rufaa kupinga nini na utakuja na uthibitisho wa majibu yako sijui uliyopima Nairobi ndiyo utaomba Mahakama ipokee na iache majibu ya Mkemia Mkuu wa Serikali?Watanzania mnajifanya mnajua SHERIA kumbe wapi..... Kingine wanaotoa ruhusa kupima kwa DNA ni Mahakama,Wakili,Ustawi wa jamii au mkuu wa wilaya kama sikosei....na hulazimishwi kukubali na rufaa pia
Watakaokubishia hapa sidhani hata kama wanaelewa haya mambo huwa yanaendaje.Hamisa alikuwa smart sana whether mtoto ni wa Naseeb au la.Lakini alivyomshinda tu Mahakamani pale ndiyo ulikuwa mwisho wa mchezo.Sheria hairukwi kwa maneno ya hear say.
Mahakama ikishagonga hukumu ndio imetoka.
Uhalisia ni kwamba Tanzania ukienda kupima DNA na mtoto yeyote wewe baba unaambiwa ni wa kwako. Na mobetto alikuwa analijua hilo ndipo alipomshinda diamond kisheria.
Diamond hana ujanja kisheria kuhusu yule mtoto . Uliza wanasheria ama hakimu akufunze
Rufaa inakatwa mahakamani, alafu kwenda mahakamani sio Lazima labda ujue Hilo .....kwa mkemia analetewa sample anapima kuhusu huyu ni nani yeye hatambui ilo....ila anatoa majibu ndio changamoto, So hata ukiwa na wakili anakufanyia mchakato freshi tuu no problemsWote hao wakitoa amri ya kwenda kupimwa DNA mtaenda kwa Mkemia Mkuu wa Serikali huko.Unadhani majibu yatakuja kuwa huyu mtoto si wake? Usipokubaliana na majibu ya Mkemia Mkuu utakata rufaa kupinga nini na utakuja na uthibitisho wa majibu yako sijui uliyopima Nairobi ndiyo utaomba Mahakama ipokee na iache majibu ya Mkemia Mkuu wa Serikali?