Hamisa Mobeto: Nilidungwa mimba mara tatu na Diamond

Hamisa Mobeto: Nilidungwa mimba mara tatu na Diamond

Upumbavu wake utaonekana kwenye mirathi.

Mobetto sio mjinga anajua anachokifanya.

Vita ya kujikomboa na umaskini inapiganwa kwa njia nyingi sana
Mirathi ipi wakati mali zote ameandikiwa Bi Sandra, angekua na akili angepambana kulra watoto wake aache kuanika nyuchi mitandaoni umri unaenda
 
JF ni dude kubwa lenye wengi huwezi jua pengine kuna watu wamepita nae Kwa madau tofauti tofauti.

Mjini kuna mambo mengine.
 
Mdangaji anamjua mdangaji mwenziwe[emoji1][emoji2] wanaume wa jf Wana wivu na maishaa ya watu kuliko ya kwao na wanatamani wengine humu wangekua wanawake daimond awakaze
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baba levo ndo anataka na kuzaa kabisaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baba levo ndo anataka na kuzaa kabisaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]vijana wa kiume wa Siku hizi wengi hawana tofauti na dada zao
 
Sheria hairukwi kwa maneno ya hear say.

Mahakama ikishagonga hukumu ndio imetoka.

Uhalisia ni kwamba Tanzania ukienda kupima DNA na mtoto yeyote wewe baba unaambiwa ni wa kwako. Na mobetto alikuwa analijua hilo ndipo alipomshinda diamond kisheria.

Diamond hana ujanja kisheria kuhusu yule mtoto . Uliza wanasheria ama hakimu akufunze
Watanzania mnajifanya mnajua SHERIA kumbe wapi..... Kingine wanaotoa ruhusa kupima kwa DNA ni Mahakama,Wakili,Ustawi wa jamii au mkuu wa wilaya kama sikosei....na hulazimishwi kukubali na rufaa pia
 
Watanzania mnajifanya mnajua SHERIA kumbe wapi..... Kingine wanaotoa ruhusa kupima kwa DNA ni Mahakama,Wakili,Ustawi wa jamii au mkuu wa wilaya kama sikosei....na hulazimishwi kukubali na rufaa pia
Wote hao wakitoa amri ya kwenda kupimwa DNA mtaenda kwa Mkemia Mkuu wa Serikali huko.Unadhani majibu yatakuja kuwa huyu mtoto si wake? Usipokubaliana na majibu ya Mkemia Mkuu utakata rufaa kupinga nini na utakuja na uthibitisho wa majibu yako sijui uliyopima Nairobi ndiyo utaomba Mahakama ipokee na iache majibu ya Mkemia Mkuu wa Serikali?
 
Sheria hairukwi kwa maneno ya hear say.

Mahakama ikishagonga hukumu ndio imetoka.

Uhalisia ni kwamba Tanzania ukienda kupima DNA na mtoto yeyote wewe baba unaambiwa ni wa kwako. Na mobetto alikuwa analijua hilo ndipo alipomshinda diamond kisheria.

Diamond hana ujanja kisheria kuhusu yule mtoto . Uliza wanasheria ama hakimu akufunze
Watakaokubishia hapa sidhani hata kama wanaelewa haya mambo huwa yanaendaje.Hamisa alikuwa smart sana whether mtoto ni wa Naseeb au la.Lakini alivyomshinda tu Mahakamani pale ndiyo ulikuwa mwisho wa mchezo.
 
Wote hao wakitoa amri ya kwenda kupimwa DNA mtaenda kwa Mkemia Mkuu wa Serikali huko.Unadhani majibu yatakuja kuwa huyu mtoto si wake? Usipokubaliana na majibu ya Mkemia Mkuu utakata rufaa kupinga nini na utakuja na uthibitisho wa majibu yako sijui uliyopima Nairobi ndiyo utaomba Mahakama ipokee na iache majibu ya Mkemia Mkuu wa Serikali?
Rufaa inakatwa mahakamani, alafu kwenda mahakamani sio Lazima labda ujue Hilo .....kwa mkemia analetewa sample anapima kuhusu huyu ni nani yeye hatambui ilo....ila anatoa majibu ndio changamoto, So hata ukiwa na wakili anakufanyia mchakato freshi tuu no problems
 
Back
Top Bottom