Hamisa Mobeto: Nilidungwa mimba mara tatu na Diamond

Rufaa inakatwa mahakamani, alafu kwenda mahakamani sio Lazima labda ujue Hilo .....kwa mkemia analetewa sample anapima kuhusu huyu ni nani yeye hatambui ilo....ila anatoa majibu ndio changamoto, So hata ukiwa na wakili anakufanyia mchakato freshi tuu no problems
Anaetoa majibu ndio changamoto USTAWI WA JAMII AU MAHAKAMANI
 
Kwani huyo mtoto alienda kupimwa wapi DNA na nani alitaka kuthibitisha kuwa ni mtoto wake au la? Ukijibu hilo swali ndiyo utaelewa Naseeb hana pa kuchomokea katika hili.
 
Rufaa inakatwa mahakamani, alafu kwenda mahakamani sio Lazima labda ujue Hilo .....kwa mkemia analetewa sample anapima kuhusu huyu ni nani yeye hatambui ilo....ila anatoa majibu ndio changamoto, So hata ukiwa na wakili anakufanyia mchakato freshi tuu no problems
Sasa mbona unajichanganya mwenyewe.Rudi usome comment yako ya juu kule uliyoanza na "watanzania mnajifanya......" halafu njoo usome tena hii comment niliyokuquote,ni kama watu wawili tofauti wanapingana
 
Mobetto kaliwa na Bro wangu wa kazini. Dem alianza hapa bongo hawezi kuingi hotelin jamaa akajua dem anazingua akamwambia tunaenda south. Demu hakuchomoa wakaenda south akaliwa, hawa masupastaa ni dau lako tu. Tena huwezi kuwala kama hujapitia kwa maagent wao[emoji119][emoji119]
Mi Li-Uwoya huwa nalitamanigi.

Lips denda rangi Moja hadimu sana.

Na ka-Mimi Mars Nako kanavutia sana.

Nimenyimwa Hela tu ningekuwa nazo ningetimiza fantasy yangu.

This is part of my absurdity.[emoji1]
 
Wewe Mondi kishapima DNA zamani, ndio maana sasa hivi hata hela child hatoi. Zigo sasa hivi la huyo mtoto analazimishwa Billnass alibebe, kuna kipindi Mama yake Diamond alimponda kwenye insta "tusilazimishe undugu ".

Sasa kama kweli kisheria ni wa Mondi why kwa nini mpaka sasa Mobetto hajamshtaki Mondi?

Why kwa nini zigo analazimishwa Billnass?
Kwahio mtoto Wa billnass
 
Hivi Child Support ni Mahakama ndiyo iliamuru atoe au Ustawi wa Jamii? Vyovyote vile itakavyokuwa,Naseeb hana jeuri ya kubishia hizi mamlaka za Serikali.

Hiyo DNA alienda kupima kwa Mkemia Mkuu wa Serikali au alienda hizi hospital kimya kimya? Kama siyo kwa amri halali ya Mahakama atakuwa anajisumbua tu.Mobetto outsmarted Naseeb kwa hili.Hayo maneno ya mama yake huko mitandaoni ni uswahili mtupu.Kinachoangaliwa hapa ni sheria tu
 
Mwanamitindo Hamisa Mobetto amefichua siri kuwa wakati Diamond akiwa na Zari walikuwa wanakutana na kwa siri na akafanikiwa kutundikwa mimba tatu na Diamond ambapo mbili zilitoka na moja wakafanikiwa kupata mtoto wa kiume Dylan.

Faida ya kujianika hivi ni nini?

====
kwamba anajitangaza kuwa yeye tayari ni scrapper au?
 
Hivi Child Support ni Mahakama ndiyo iliamuru atoe au Ustawi wa Jamii? Vyovyote vile itakavyokuwa,Naseeb hana jeuri ya kubishia hizi mamlaka za Serikali.

Hiyo DNA alienda kupima kwa Mkemia Mkuu wa Serikali au alienda hizi hospital kimya kimya? Kama siyo kwa amri halali ya Mahakama atakuwa anajisumbua tu.Mobetto outsmarted Naseeb kwa hili.Hsyo maneno ya mama yake huko mitandaoni ni uswahili mtupu.Kinachoangaliwa hapa ni sheria tu
Kwa hiyo wewe mfano umekutana na demu mwezi mmoja uliopita tokea kukutana nae sheria ikukutaka kulipa utalipa?

Hivi ushajiuliza why Mondi yule mtoto ana mda hampost kwenye page zake,wala hajawahi hata kumfanyia event kubwa tokea mda. Husione Mondi mjinga kisha jilizisha watoto si wake na anasubiri Hamisa aende huko ustawi wa jamii, Mondi hatoi hata Senti kwa yule mtoto.

Huu ukondoaa juzi tu hapo US jimbo la Tennese wamepitisha sheria ya Paternity, mtoto yoyote akizaliwa lazima afanyiwe kipimo cha DNA na child support haitotolewa mpaka vipimo vifanyike.

Au wewe unavyo ona watu wanavyo bambikiwa watoto ni sawa?

,husifanye masihala kulelea bao la mtu na kizazi cha sasa sio makondoo wanao amini ktk "kitanda hakizai haramu".

Huko ulaya wenyee ambapo wanaume wamekuwa makondoo wameamka na ndio maana sasa kuna sheria ya Partenity jimbo la Tennese na huko Florida wamepitisha sheria mpya ya Alimony.Wanaume wa sasa sio makondoo huo hujinga hawa utaki.

Huyo mdangaji unayo muona ana akili kakutana na mjanja mwenzie,hana elimu ila exposure imemsaidia.
 
Hapa unaongea maneno matupu kuliko uhalisia wenyewe,yani wewe kile unachowish kiwe ndiyo unakiandika.Hivi si walishapelekana Mahakamani tayari na Naseeb akashindwa kesi na akaamuliwa kuwa analipa Child Support au hukumbuki? Yeye kutompost hakuondoi uhalali wa kumuhudumia huyo mtoto.Haya mambo usiyaongee kishabiki,hebu google na uje na ile Naseeb alikuwa akihojiwa siku wameyamaliza Mahakamani alisema nini? Ukishasikiliza ile utaona swala la 'kupost mtoto'is useless here.Tunaongelea sheria na haki za mtoto,kupostiwa mitandaoni au kutopostiwa siyo swala muhimu hapa.
 
Who takes Mpoki serious,kwamba haya maneno ya Mpoki ndiyo reference yako wewe,nilidhani unakuja na evidence za maana kama hukumu ya Mahakama au maamuzi ya Ustawi wa Jamii.
Unataka evidence,endelea kusbiria evidence ila muhuni wa Tandale hatoi Mbuni kwa Hamisa.
 
Hapa unaongea maneno matupu kuliko uhalisia wenyewe,yani wewe kile unachowish kiwe ndiyo unakiandika.Hivi si walishapelekana Mahakamani tayari na Naseeb akashindwa kesi na akaamuliwa kuwa analipa Child Support au hukumbuki? Yeye kutompost hakuondoi uhalali wa kumuhudumia huyo mtoto.Haya mambo usiyaongee kishabiki,hebu google na uje na ile Naseeb alikuwa akihojiwa siku wameyamaliza Mahakamani alisema nini? Ukishasikiliza ile utaona swala la 'kupost mtoto'is useless here.Tunaongelea sheria na haki za mtoto,kupostiwa mitandaoni au kutopostiwa siyo swala muhimu hapa.
Haya sio maneno matupu uhalisia ni huo kama hutaki haya. Siongei kishabiki we unazungumzia siku, Mondi alifanya DNA yy binafsi baada ya kutoka huko mahakamani, vipimo anavyo kaa kimya, wewe jiulize why huyo Hamisa sasa hivi haendi huko ustawi kumshtaki.

Kwa hiyo kwako sheria ni mtu kubambikiwa mtoto sababu ustawi umeamua kama ndio hivyo wanaume wengi wangekiwa wanalipa child support kwa mitoto sio yao.
 
Hivi Child Support ni Mahakama ndiyo iliamuru atoe au Ustawi wa Jamii? Vyovyote vile itakavyokuwa,Naseeb hana jeuri ya kubishia hizi mamlaka za Serikali.

Hiyo DNA alienda kupima kwa Mkemia Mkuu wa Serikali au alienda hizi hospital kimya kimya? Kama siyo kwa amri halali ya Mahakama atakuwa anajisumbua tu.Mobetto outsmarted Naseeb kwa hili.Hayo maneno ya mama yake huko mitandaoni ni uswahili mtupu.Kinachoangaliwa hapa ni sheria tu
Watanzania ujuaji mwingi sana halafu na wivu umewatawala
Yule mtoto Wa Daimond IPO siku ukweli utajulikana tu Wa wazi wazi
Sema chuki,wivu na mioyo dhaifu ya kuchukia watu ndo imetutawala ktk maisha yetu na hii ukosefu Wa Ajira inafanta wengi tuchukie watu hovyo
 
Hivi Child Support ni Mahakama ndiyo iliamuru atoe au Ustawi wa Jamii? Vyovyote vile itakavyokuwa,Naseeb hana jeuri ya kubishia hizi mamlaka za Serikali.

Hiyo DNA alienda kupima kwa Mkemia Mkuu wa Serikali au alienda hizi hospital kimya kimya? Kama siyo kwa amri halali ya Mahakama atakuwa anajisumbua tu.Mobetto outsmarted Naseeb kwa hili.Hayo maneno ya mama yake huko mitandaoni ni uswahili mtupu.Kinachoangaliwa hapa ni sheria tu
Dada nimeisoma kauli yako daah kweli wanaume tuna kazi.

Kwa hiyo kuwa ustawi na mahakama vikiamua,ila baadae mtu kujilizisha mtoto sio wake ,still anaendelea kutoa child support?

Daah wanawake mtuonee huruma.Nasikiaga report zamkemia mkuu 40% watoto wanakuwa sio wao na kuna tetesi kwamba ukienda kupima na wakiona una mpunga hata kama mtoto sio wako utapewa wewe.

Ila si shangai nyie wenyewe mnaita kulenga,ktk wale unaodate nao unatafuta mmoja wa kumbwagia mtoto.

Tunasafari ndefu sana kwenye maswala ya transparencies kuhusiana na hivi vipimo.
 
Back
Top Bottom