Kwa hiyo wewe mfano umekutana na demu mwezi mmoja uliopita tokea kukutana nae sheria ikukutaka kulipa utalipa?
Hivi ushajiuliza why Mondi yule mtoto ana mda hampost kwenye page zake,wala hajawahi hata kumfanyia event kubwa tokea mda. Husione Mondi mjinga kisha jilizisha watoto si wake na anasubiri Hamisa aende huko ustawi wa jamii, Mondi hatoi hata Senti kwa yule mtoto.
Huu ukondoaa juzi tu hapo US jimbo la Tennese wamepitisha sheria ya Paternity, mtoto yoyote akizaliwa lazima afanyiwe kipimo cha DNA na child support haitotolewa mpaka vipimo vifanyike.
Au wewe unavyo ona watu wanavyo bambikiwa watoto ni sawa?
,husifanye masihala kulelea bao la mtu na kizazi cha sasa sio makondoo wanao amini ktk "kitanda hakizai haramu".
Huko ulaya wenyee ambapo wanaume wamekuwa makondoo wameamka na ndio maana sasa kuna sheria ya Partenity jimbo la Tennese na huko Florida wamepitisha sheria mpya ya Alimony.Wanaume wa sasa sio makondoo huo hujinga hawa utaki.
Huyo mdangaji unayo muona ana akili kakutana na mjanja mwenzie,hana elimu ila exposure imemsaidia.