Kuna Dada aliniambiaga, "Mwanamke mjinga anaweza kukubali kumvulia chupi mume wamtu, ili tu huyo mume wamtu amtie juu ya kitanda anacholalia yeye na mke wake"
Nikashika kichwa.
Wakati yy ndo main chick[emoji23] [emoji23] [emoji23]Duh, si alisema yupo na dai toka anasoma means zary alimkuta!! [emoji849][emoji849]sasa ya mke wa pili tena inakujaje...
Ama kweli ukiwa muongo usiwe msahaulifu
Yani huyu Binti still anampenda Domo kutaka Moyoni pamoja na vibwanga vyote anavyofanyiwa na familia ya Domo in short hajielewi
Yani ni vyema akanyamaza anavyozidi kufanya hizo interview anazidi kujionesha vile alivyo na akili ndogoHamna penzi hapo bali kinachotafutwa pesa,fame,akili ndogo.
AiseeHata mi G ningekuta ana mke ningekuwa tayari tu kuwa mke wa pili mnajua mapenzi nyie [emoji57]
Yani ni vyema akanyamaza anavyozidi kufanya hizo interview anazidi kujionesha vile alivyo na akili ndogo
Apunguze kuongea ongea atachokwa mapemaAkihojiwa katika kituo cha radio citizen nchini Kenya mrembo kutoka Tanzania hamisa Mobeto anasema alikuwa anajua Kama Diamond yupo na Zari na alikubali kufanya mahusiano yake na Diamond yawe ya Siri ili Zari asijue kwasababu Diamond alimwambia dini yake inaruhusu kuoa wanawake wanne na yeye alikubali ili mradi anapata mahitaji yake muhimu.
Hamisa" Diamond aliniambia dini yake inaruhusu kuoa wanawake wanne na Mimi nilikubali kuwa mke wa pili sikuona tatizo kushare na Zari, muhimu mahitaji yangu napata sio lazima Kila mtu ajue nipo na Nani, ila ndo hivo diamond hajielewi".
Kwasasa naelekeza nguvu zangu kwenye musiki nimesha move on na maisha yangu.View attachment 878568
Mwenzio anafurahia na kuona anapata umaarufu zaidi na vile ana vimsukule vinavyomsifia kinafiki baasi bichwa linamjaa ka tv chogo
Kweli kabisa ameanza kutia kinyaaApunguze kuongea ongea atachokwa mapema
Huyu binti naona anakuzwa sana,she z not of that class...she is too low but she is there coz ya public sympath + u team..!!
Hahahahaha so Aka kamobeto nahawa waliomo humu wanaomtetea ni "Nyakunyaku" hahahahAlikwambia ukweli kabisa,na baadhi yao wapo humu ,wamejipachika cheo cha kumtetea nyakunyaku mwenzao
Mwenzenu anaisalandia show ya america bwahahahahhahaApunguze kuongea ongea atachokwa mapema
Kweli kabisa ameanza kutia kinyaa
Kweli kabisaa, sio penzi bali unafuu wa maisha .Hamna penzi hapo bali kinachotafutwa pesa,fame,akili ndogo.
Washauri wake ndo wanamwambia azidi kuongea ili asisahaulike
Mwenzenu anaisalandia show ya america bwahahahahhaha
Hahahahaha so Aka kamobeto nahawa waliomo humu wanaomtetea ni "Nyakunyaku" hahahah
Alafu nilipochoooooka, et demu anasema "Ili mradi natizimiwa mahitaji yangu"" ..kwaiyo sio kwamba ni mapenzi isipokua "Njaa" ndo inamfanya awe ivo[emoji23][emoji23]
Ama kweli nakubaliana naww Numbisa , ukiona mwanamke asokua na mume na anataman kua Mke wa pili au watatu ,,maana yake nikwama Ktk mahusiano yeye ameshapoteza kila kitu, sasa anaona hata kua mke wa pili watatu wanne ni bahati hata km hajampenda !!.
Nahawa wengi wao huwa ni waharabifu sanaa, wanaharibugi sana ndoa za watu + waanenda sana kwa waganga ili wao ndo waonekane mke mkubwa nambaya zaidi....hawa ndio wanawake wanaoongoza kuua wanaume( Baba aliniambia , mke wapili ni SAWA NA SIMBA WA PORINI).
Wanampoteza maana kinachoonekana ameshindwa kabisa kumove on. Kila anachoongea kinamuhusu mzazi mwenzie. Ila hii ya leo ndio imetia kinyaa kabisa.Ameonesha vile alikuwa anaumia na mahusiano ya Zari na Mond
Chaaaa kwa hili wacha uwe wivu tu. Lakini Bidada anapuyanga sana[emoji23][emoji23]Wenzio wanakwambia acha wivu alichokifanya pugi hata zari alikifanya duh zari role model wa wengi
Inshalaah atapata wake!!
Chaaaa kwa hili wacha uwe wivu tu. Lakini Bidada anapuyanga sana[emoji23][emoji23]