Hamisa Mobeto nilikubali kuwa mke wa pili wa Diamond

Hamisa Mobeto nilikubali kuwa mke wa pili wa Diamond

Duh, si alisema yupo na dai toka anasoma means zary alimkuta!! [emoji849][emoji849]sasa ya mke wa pili tena inakujaje...

Ama kweli ukiwa muongo usiwe msahaulifu
Wakati yy ndo main chick[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mwenzio anafurahia na kuona anapata umaarufu zaidi na vile ana vimsukule vinavyomsifia kinafiki baasi bichwa linamjaa ka tv chogo
Yani ni vyema akanyamaza anavyozidi kufanya hizo interview anazidi kujionesha vile alivyo na akili ndogo
 
Akihojiwa katika kituo cha radio citizen nchini Kenya mrembo kutoka Tanzania hamisa Mobeto anasema alikuwa anajua Kama Diamond yupo na Zari na alikubali kufanya mahusiano yake na Diamond yawe ya Siri ili Zari asijue kwasababu Diamond alimwambia dini yake inaruhusu kuoa wanawake wanne na yeye alikubali ili mradi anapata mahitaji yake muhimu.
Hamisa" Diamond aliniambia dini yake inaruhusu kuoa wanawake wanne na Mimi nilikubali kuwa mke wa pili sikuona tatizo kushare na Zari, muhimu mahitaji yangu napata sio lazima Kila mtu ajue nipo na Nani, ila ndo hivo diamond hajielewi".
Kwasasa naelekeza nguvu zangu kwenye musiki nimesha move on na maisha yangu.View attachment 878568
Apunguze kuongea ongea atachokwa mapema
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani kanatia aibu kishenzi
Mwenzio anafurahia na kuona anapata umaarufu zaidi na vile ana vimsukule vinavyomsifia kinafiki baasi bichwa linamjaa ka tv chogo
 
Alikwambia ukweli kabisa,na baadhi yao wapo humu ,wamejipachika cheo cha kumtetea nyakunyaku mwenzao
Hahahahaha so Aka kamobeto nahawa waliomo humu wanaomtetea ni "Nyakunyaku" hahahah

Alafu nilipochoooooka, et demu anasema "Ili mradi natizimiwa mahitaji yangu"" ..kwaiyo sio kwamba ni mapenzi isipokua "Njaa" ndo inamfanya awe ivo[emoji23][emoji23]

Ama kweli nakubaliana naww Numbisa , ukiona mwanamke asokua na mume na anataman kua Mke wa pili au watatu ,,maana yake nikwama Ktk mahusiano yeye ameshapoteza kila kitu, sasa anaona hata kua mke wa pili watatu wanne ni bahati hata km hajampenda !!.

Nahawa wengi wao huwa ni waharabifu sanaa, wanaharibugi sana ndoa za watu + waanenda sana kwa waganga ili wao ndo waonekane mke mkubwa nambaya zaidi....hawa ndio wanawake wanaoongoza kuua wanaume( Baba aliniambia , mke wapili ni SAWA NA SIMBA WA PORINI).
 
Wanampoteza maana kinachoonekana ameshindwa kabisa kumove on. Kila anachoongea kinamuhusu mzazi mwenzie. Ila hii ya leo ndio imetia kinyaa kabisa.Ameonesha vile alikuwa anaumia na mahusiano ya Zari na Mond
Washauri wake ndo wanamwambia azidi kuongea ili asisahaulike

Mwenzenu anaisalandia show ya america bwahahahahhaha
 
Yeah kuna mmoja alifanya interview humu hadi huruma alivyofunguka,katoroshwa,kazalishwa, katoswa basi hasira zote kwa zari utadhan zari ndo alimuibia huyo bwana

Binti angekula taratibu no mbwembwe hakuna ambae angemfatilia na kumchukia ila sasa bidada mashauzi kibao,matshtiti,njaa ya umaarufu akakurupukia jiji,chambana na mama mkwe mpaka wifi mtu

Nyumba ndogo ni shida,just imagine pugi kwa mganga alitaka dai awasahau wanae wa sauzi roho mbaya iliyoje

Hana mapenzi pale anatafuta pesa na kuitawala wcb lakin ndo hivyo tena hana bahati maama hata mameneja na team dai hawamkubali
Hahahahaha so Aka kamobeto nahawa waliomo humu wanaomtetea ni "Nyakunyaku" hahahah

Alafu nilipochoooooka, et demu anasema "Ili mradi natizimiwa mahitaji yangu"" ..kwaiyo sio kwamba ni mapenzi isipokua "Njaa" ndo inamfanya awe ivo[emoji23][emoji23]

Ama kweli nakubaliana naww Numbisa , ukiona mwanamke asokua na mume na anataman kua Mke wa pili au watatu ,,maana yake nikwama Ktk mahusiano yeye ameshapoteza kila kitu, sasa anaona hata kua mke wa pili watatu wanne ni bahati hata km hajampenda !!.

Nahawa wengi wao huwa ni waharabifu sanaa, wanaharibugi sana ndoa za watu + waanenda sana kwa waganga ili wao ndo waonekane mke mkubwa nambaya zaidi....hawa ndio wanawake wanaoongoza kuua wanaume( Baba aliniambia , mke wapili ni SAWA NA SIMBA WA PORINI).
 
Wenzio wanakwambia acha wivu alichokifanya pugi hata zari alikifanya duh zari role model wa wengi

Back
Top Bottom