Eeeeeeh subiri anaependa kua mke wa pili aje kwa G usije kutupigia kelele ohooooHata mi G ningekuta ana mke ningekuwa tayari tu kuwa mke wa pili mnajua mapenzi nyie [emoji57]
Hahaaaaaa kwakweli.... Tukae mkao wa kulilaCant wait kula pilau la muzungu
Tatizo anaongea visivyo na maana hapo anasema ataolewa mke wa pili kwani Zari kafunga ndoa na huyo Diamond? Anaonekana kituko abaki kimyaWashauri wake ndo wanamwambia azidi kuongea ili asisahaulike
Mwenzenu anaisalandia show ya america bwahahahahhaha
Kwenye kuolewa mke wa pili haina shidaaa waislamu imehalalishwa hiyo ni sunna ....me mwenyew naolewa mke wa pili soon[emoji126] [emoji126]Unaaaafiki wa kiwango cha treni za umeme na barabara zake...humu ndo umejaa...
Wengine humu nyumba ndogo tena michepuko...tu!!hasira zao wanamalizia kwa hamisa[emoji3][emoji3][emoji16][emoji23]!!!
Jamani wengine waislamu dini yaruhusu!!!
Ebu ifungue hii attach mkuuView attachment VID-20180923-WA0001.mp4Watu wanavyojifanya kushangaa wakati wengi tu wameolewa wake wadogo na wameridhia mbona sio kitu cha ajabu,wakristo hawahalalishi lakin nyumba ndogo kibao
Wanne na michepukooo!!!juuuAhahahahahhaha acha tu
Na daimond lazima aje kuwa na wake wawili tuombe uhai
What do u mean by class...which class r u talking about?ila haibadili ukweli kwamba she z not of that class no matter what....sijamdharau but naongelea ukweli...otherwise best of lucky to her!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mimi simchukii bibi yenu jamani uzee ule ntapata radhi!!!Ni sawa walikuwa na uhusiano ulio public.. na unaona hadi leo watu wengi wanatamani warudiane.. mimi nilifurahi alivyomdampu..
Hamisa alitaka na akashindwa.
Tofautisha mke na side chick.. usijidai wote huwa wanawekwa level moja.. NEVA
Side chick alifikiri atakuwa na life kama ya Z.. hakujua background yake kuwa hata madale ni Z aliimalizia na 100k
Sasa insta leo umeandika nini.. acheni kumtumia homisa kisa chuki kwa Z
Si bora mugeze kuwa na maendeleo
Wivu mbaya duh
Poleni
Utaitwa nyaku nyaku bibie huogopii...!!![emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kuitwa nyaku nyaku!!!Kwenye kuolewa mke wa pili haina shidaaa waislamu imehalalishwa hiyo ni sunna ....me mwenyew naolewa mke wa pili soon[emoji126] [emoji126]
Mbona majjizo hamuongelei?Ni ngumu kwa sababu ni sehemu ya maisha yakee...lazma amuongeleee...
Watu wa humu wakikuchukia tafrani yaani wao wanajiona wakamilifu
Majizzo ashawahi muongelea hamissa?Mbona majjizo hamuongelei?
Hahaha Numby ,unaambiwa if you don't know , you don't know tuu milele ...
Basi ilo balaa, Yaan uumizwe namtu alafu Hasira umalizie kwa Mganda wa watu asokua namakosa????? Hii sasa ni ukichaa.
Nivema mtu kupambana na hali yake ,kuzalishwa na kutoswa hakuwezi mpa mtu Sababu za kumchukia mtu usomjua , kama niivo basi ndo maana unawaita "Nyakunyaku" maana yake ni wanyakuzi, pua zao zipo juu juu kunusa macho hayatuliii , akiona kanafasi anajilengesha mwenyewe .
Duuhhh Iyo kitu mbaya sana aiseee, Basi kwa staili iyo na akikosa akili atajikuta anasomeshwa namba ivoivo.
Niroho mbaya sanaaaa, kwenda kwa mganga sababu ya kumuwin mtu au kumfanya awe zezeta , niroho mbaya na kiswahili na haifai.
Ndomaana hapo anaisoma namba na kwa mawazo haya, ataendelea kuisoma namba akiishia kupata wapigaji kwasababu hana roho mzuri.
Iyo intavyuu ya humu nizile za DJ sepetu ?? "Makaburi".
Tatizo anaongea visivyo na maana hapo anasema ataolewa mke wa pili kwani Zari kafunga ndoa na huyo Diamond? Anaonekana kituko abaki kimya
Kwenye kuolewa mke wa pili haina shidaaa waislamu imehalalishwa hiyo ni sunna ....me mwenyew naolewa mke wa pili soon[emoji126] [emoji126]
Mdomo wangu umebaki wazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...unaambiwa kuna watu vichwa vyao ni Vigumu kuelewa lkn ni vyepesi sana kusahau .Hebu tushangae,maana kila siku zinatumika nguvu kubwa kusema zari hakuolewa, leo chuchunge kayakoroga ila misukule inachekelea kama sio yenyewe inayosimamisha mishipa kusema zari hakuolewa mara pugi alikua kwenye mahusiano kwa miaka kumi iweje awe mke wa pili na sio wa kwanza
Mdomo wangu umebaki wazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...unaambiwa kuna watu vichwa vyao ni Vigumu kuelewa lkn ni vyepesi sana kusahau .
Ndo hivi vichwa vya akina Hamisa mobeto na marafiki zake[emoji23][emoji23][emoji23]
Siku hivi wanajipaka sijui yale maudongo ya pemba wanaokula. Hapo ukichukua bomba la maji yaliyona presha kubwa ukimpiga usoni anatabaki mweusi kama lamiAna nywele za kizungu, halafu ni mweupee kuliko huyo msela hapo nyuma. Duh.