Hamisa Mobeto nilikubali kuwa mke wa pili wa Diamond

Hamisa Mobeto nilikubali kuwa mke wa pili wa Diamond

Anaelekea kwenye muziki gani!!!!?
Hivi hamisa anaimba kwaya!!!!?au nyimbo za mapambio!? Eti muziki pyeeeeee kuimba kipaji ...mi nikisikilizaga kale kawimbo kake huwa namfananisha na wale watoto wanaoimba TBC taifa kipindi cha watoto na nyimbo...
 
Hivi namm mahawara zangu wakipata nafac ya kuhojiwa redioni wataniongelea hivi?!
 
Washauri wake ndo wanamwambia azidi kuongea ili asisahaulike

Mwenzenu anaisalandia show ya america bwahahahahhaha
Tatizo anaongea visivyo na maana hapo anasema ataolewa mke wa pili kwani Zari kafunga ndoa na huyo Diamond? Anaonekana kituko abaki kimya
 
Unaaaafiki wa kiwango cha treni za umeme na barabara zake...humu ndo umejaa...

Wengine humu nyumba ndogo tena michepuko...tu!!hasira zao wanamalizia kwa hamisa[emoji3][emoji3][emoji16][emoji23]!!!

Jamani wengine waislamu dini yaruhusu!!!
Kwenye kuolewa mke wa pili haina shidaaa waislamu imehalalishwa hiyo ni sunna ....me mwenyew naolewa mke wa pili soon[emoji126] [emoji126]
 
ila haibadili ukweli kwamba she z not of that class no matter what....sijamdharau but naongelea ukweli...otherwise best of lucky to her!!
What do u mean by class...which class r u talking about?

Hebu nambie hapa bongo wadada wa bongo muvie yupo class...?may be..

Endelea kumdharau yeye sio wa kwanza wala hatakua wa mwishi diamond mwenyewe alianzia huko Leo watu saluteee...

Magufuli alishawahi jibiwa siongei na mbwa enzi za waziri Leo ni rais...haijalishi vipi...
 
Ni sawa walikuwa na uhusiano ulio public.. na unaona hadi leo watu wengi wanatamani warudiane.. mimi nilifurahi alivyomdampu..
Hamisa alitaka na akashindwa.

Tofautisha mke na side chick.. usijidai wote huwa wanawekwa level moja.. NEVA
Side chick alifikiri atakuwa na life kama ya Z.. hakujua background yake kuwa hata madale ni Z aliimalizia na 100k

Sasa insta leo umeandika nini.. acheni kumtumia homisa kisa chuki kwa Z

Si bora mugeze kuwa na maendeleo

Wivu mbaya duh
Poleni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mimi simchukii bibi yenu jamani uzee ule ntapata radhi!!!

Ukweli ni kua daimond hajawahai kuoa na wala hajaoa
Zari na wengine wote walikua wanaziniwa hadharaaaaanii...anashikwa mbele za hadhara..anaziniwa hadharaniii.....!!

Hakua ameolewa wala kuchumbiwa alikua anadhihirisha zinaaaa!!!
 
Kwenye kuolewa mke wa pili haina shidaaa waislamu imehalalishwa hiyo ni sunna ....me mwenyew naolewa mke wa pili soon[emoji126] [emoji126]
Utaitwa nyaku nyaku bibie huogopii...!!![emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kuitwa nyaku nyaku!!!
 
Yeah dj sepetu alijua kuchimbua mambo[emoji23][emoji23][emoji23]mtu akafunguka akidhan atapata sympathy ila kajikuta kajianika kwa numby nikamchana laivu hadi wa leo kaufyata,kutwa kumtaja zari zari maskin hadi huruma na kikoti chake cha jeans[emoji23][emoji23][emoji23]

Kwa sasa team pugi wangedili na mzigo wao wamuache zari maana kama bwana alishawaachia wakashindwa mkamata watakavyo
Hahaha Numby ,unaambiwa if you don't know , you don't know tuu milele ...

Basi ilo balaa, Yaan uumizwe namtu alafu Hasira umalizie kwa Mganda wa watu asokua namakosa????? Hii sasa ni ukichaa.

Nivema mtu kupambana na hali yake ,kuzalishwa na kutoswa hakuwezi mpa mtu Sababu za kumchukia mtu usomjua , kama niivo basi ndo maana unawaita "Nyakunyaku" maana yake ni wanyakuzi, pua zao zipo juu juu kunusa macho hayatuliii , akiona kanafasi anajilengesha mwenyewe .

Duuhhh Iyo kitu mbaya sana aiseee, Basi kwa staili iyo na akikosa akili atajikuta anasomeshwa namba ivoivo.

Niroho mbaya sanaaaa, kwenda kwa mganga sababu ya kumuwin mtu au kumfanya awe zezeta , niroho mbaya na kiswahili na haifai.

Ndomaana hapo anaisoma namba na kwa mawazo haya, ataendelea kuisoma namba akiishia kupata wapigaji kwasababu hana roho mzuri.

Iyo intavyuu ya humu nizile za DJ sepetu ?? "Makaburi".
 
Hebu tushangae,maana kila siku zinatumika nguvu kubwa kusema zari hakuolewa, leo chuchunge kayakoroga ila misukule inachekelea kama sio yenyewe inayosimamisha mishipa kusema zari hakuolewa mara pugi alikua kwenye mahusiano kwa miaka kumi iweje awe mke wa pili na sio wa kwanza
Tatizo anaongea visivyo na maana hapo anasema ataolewa mke wa pili kwani Zari kafunga ndoa na huyo Diamond? Anaonekana kituko abaki kimya
 
[emoji23][emoji23][emoji23] si mbaya maana bwana utakua umempatia ukubwani sio nanilii kung'ang'ania mahusiano ya miaka kumi kisha kuja kusema alihaidiwa mke wa pili oohoo mamie ntakugayaaaa nafasi ya kwanza utaiachiaje shosti!!
Kwenye kuolewa mke wa pili haina shidaaa waislamu imehalalishwa hiyo ni sunna ....me mwenyew naolewa mke wa pili soon[emoji126] [emoji126]
 
Me Nadhani tatizo ni uelewa hata Kama Zari hakuolewa lakini sindo alikuwa main chick [emoji848]

Yaani mtu kumweka main chick na side chick kundi moja Kama Sio kujitoa ufahamu! Pussy is so good [emoji4] kutafuta ndoa kwa sangoma! Na misukule yake Etii wanamuita role mode sijui hero wao teh teh
Bora huyu mama 2 atulie tuu maana anajichafua kujieleza yenyewe 0
 
Hebu tushangae,maana kila siku zinatumika nguvu kubwa kusema zari hakuolewa, leo chuchunge kayakoroga ila misukule inachekelea kama sio yenyewe inayosimamisha mishipa kusema zari hakuolewa mara pugi alikua kwenye mahusiano kwa miaka kumi iweje awe mke wa pili na sio wa kwanza
Mdomo wangu umebaki wazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...unaambiwa kuna watu vichwa vyao ni Vigumu kuelewa lkn ni vyepesi sana kusahau .

Ndo hivi vichwa vya akina Hamisa mobeto na marafiki zake[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mujini sihami ,wasahaulifu wanatupa ubuyu kilaini kwa usahaulifu wao

Back
Top Bottom