Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Numbisa wee nakuelewa ....hujakosea kujiita numbisa.[emoji23][emoji23][emoji23] si mbaya maana bwana utakua umempatia ukubwani sio nanilii kung'ang'ania mahusiano ya miaka kumi kisha kuja kusema alihaidiwa mke wa pili oohoo mamie ntakugayaaaa nafasi ya kwanza utaiachiaje shosti!!
majizo hataki upuuz i ule....Majizzo ashawahi muongelea hamissa?
Hana hizo kuongelewa ex wake ana watoto wawili kabla ya hamisa ushawahi unawajua...!!majizo hataki upuuz i ule....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenipa sababu nakila sababu kuuu ya kurudi Mjini !!!!
Wepesi kusahau ...wagumu kuelewa...kiasinkwamba kumbukumbu zao ,zimeshikwa na wengine hahahahaha
Numbisa wee nakuelewa ....hujakosea kujiita numbisa.
Kumbe kuna mambo kutafuta "Huruma Jamii"...nabado mawazo yanakua ya kushikiwa???
Nmecheka sana[emoji23][emoji23]
Mpenzi Numbisa mimi ni mgeni humu..
Ukanikoti ktk huo uzi au ukaufukue au niongeleshe polepole kule kwa Waziri Mkuu jina la uzi au kalink ka uzi huoo tu niendeko namm nikasafishe macho kabla sijalala [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nataka nipate sababu za kuendelea kuamin kua "kama hujui na hujui tu"
Kwakweli basi inabidi watulie tu, alafu ngoja nikuambie kitu " Demz zinazomponda/zilizokua zinamponda ZARI niwale watembeaji na waume wa watu /danga danga / walozalishwa bahat mbaya akili ni ndogo .....kwaiyo wanatafuta wafanane maisha yaan wote wawe wapotezaji tu.
Huo ndo ukweli japokua ni mchungu![emoji23]. Wamuache tu Zary wa watu .
Na mimi anitagAtakayemuelewa huyu naomba anitag[emoji56]
kweli... ila wasiojitambua zaidi ni hao wanawake....Hana hizo kuongelewa ex wake ana watoto wawili kabla ya hamisa ushawahi unawajua...!!
Daimond hajitambui ndo maana kila ke anamlalamika aliyeawahi kua na mahusiano nae
Yeye sio wa kwanza kutimuliwa kwa pale madale au Tandale...!!mwanamke ambae hakuwahi kutimuli ni penny peke yakekweli... ila wasiojitambua zaidi ni hao wanawake....
sifa na kutaka umaarufu.....
Kwani hakuna watu wana waume kuzidi domo?? na mbona watu wanakula tam zao kimya kimya...
Afu kajionesha kuwa kwake kubwa ni maslahi ..keshawapa sababu kina ..mama na dada domo kumtimua....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hii nimekusudia wengi si hamisa kipenzi chako pekee!!Yeye sio wa kwanza kutimuliwa kwa pale madale au Tandale...!!mwanamke ambae hakuwahi kutimuli ni penny peke yake
Kuanzia leo nmekusamehe sitokaa nitaniane nawewe Mpenzi Numbisa !!
Nmegundua Stress zimetujaa kumbe ndomaana Post zangu zilikua zinachukiwa bila sababu[emoji23][emoji23].
Alafu leo ndo nmejua ivi , mtu mpotezaji hata akisikia unakohoa??? Anahisi unamkohoa yeye....nilikua nashangaa sana..kwann nyuzi zangu zipigwe vita ivo???? Kumbe ninyuzi zenye ukweli unaogusa moja kwa moja.
Ngachooooooka[emoji23]
Mwana umleavyo ndivyo akuavyo...walishalelewa hvyoo...!!!hii nimekusudia wengi si hamisa kipenzi chako pekee!!
Lazima watimuliwe wanajulikana wanafata nini...
Unachezeya waliotoka ..tandale??
Ila ukweli huyo dada ni mweupe mno kichwani!
Mkuuu numby usiku mwema ,Mungu akijaalia kesho!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata ukijampa anahisi unamuimbia taarabu ya mafumbo maisha haya