Hamisa Mobeto nilikubali kuwa mke wa pili wa Diamond

Hamisa Mobeto nilikubali kuwa mke wa pili wa Diamond

[emoji23][emoji23][emoji23] si mbaya maana bwana utakua umempatia ukubwani sio nanilii kung'ang'ania mahusiano ya miaka kumi kisha kuja kusema alihaidiwa mke wa pili oohoo mamie ntakugayaaaa nafasi ya kwanza utaiachiaje shosti!!
Numbisa wee nakuelewa ....hujakosea kujiita numbisa.

Kumbe kuna mambo kutafuta "Huruma Jamii"...nabado mawazo yanakua ya kushikiwa???

Nmecheka sana[emoji23][emoji23]
 
[emoji3][emoji16][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji16][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]ukiskia paaaaahhh!!!
 
Hivi kumpenda Zari ni sawa ni kumpenda hamisa ni chuki!!

Watanzania mnashangaza sanaa..halafu mwatetea uzinifu loohh!!! Poleno sana

Ukweli ni kua Zari Na hamisa wote wameziniwa tu hakuna mke pale hata mmoja!![emoji3][emoji3][emoji16][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]!!wote wadangajii!!!!mmoja anadanga Ea mwingine bongooo
 
Kuna watu humu wamemjua Zari baada ya tecno basi sana tafrani balaaa...

Na wengine baada ya kwenda chuo kupata boom La kwanza kannua laptop na teno sana vurugu haoooo
 
majizo hataki upuuz i ule....
Hana hizo kuongelewa ex wake ana watoto wawili kabla ya hamisa ushawahi unawajua...!!

Daimond hajitambui ndo maana kila ke anamlalamika aliyeawahi kua na mahusiano nae
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenipa sababu nakila sababu kuuu ya kurudi Mjini !!!!

Wepesi kusahau ...wagumu kuelewa...kiasinkwamba kumbukumbu zao ,zimeshikwa na wengine hahahahaha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Numbisa wee nakuelewa ....hujakosea kujiita numbisa.

Kumbe kuna mambo kutafuta "Huruma Jamii"...nabado mawazo yanakua ya kushikiwa???

Nmecheka sana[emoji23][emoji23]
 
Exactly[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mpenzi Numbisa mimi ni mgeni humu..

Ukanikoti ktk huo uzi au ukaufukue au niongeleshe polepole kule kwa Waziri Mkuu jina la uzi au kalink ka uzi huoo tu niendeko namm nikasafishe macho kabla sijalala [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nataka nipate sababu za kuendelea kuamin kua "kama hujui na hujui tu"

Kwakweli basi inabidi watulie tu, alafu ngoja nikuambie kitu " Demz zinazomponda/zilizokua zinamponda ZARI niwale watembeaji na waume wa watu /danga danga / walozalishwa bahat mbaya akili ni ndogo .....kwaiyo wanatafuta wafanane maisha yaan wote wawe wapotezaji tu.

Huo ndo ukweli japokua ni mchungu![emoji23]. Wamuache tu Zary wa watu .
 
Haka kademu ni bora kakae kimya tu...

Kila kanapohojiwa ndio unatambua ni namna gani kalivyo kapumbavu...

Kila siku kanakuja na maelezo tofauti tofauti...
 
Usiku mwema team tukinao...!!![emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji16][emoji3][emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji2][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji2][emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]
Fanyeni muolewa hata ya mkeka mtoe gundu jamani....!!
 
Hana hizo kuongelewa ex wake ana watoto wawili kabla ya hamisa ushawahi unawajua...!!

Daimond hajitambui ndo maana kila ke anamlalamika aliyeawahi kua na mahusiano nae
kweli... ila wasiojitambua zaidi ni hao wanawake....
sifa na kutaka umaarufu.....
Kwani hakuna watu wana waume kuzidi domo?? na mbona watu wanakula tam zao kimya kimya...
Afu kajionesha kuwa kwake kubwa ni maslahi ..keshawapa sababu kina ..mama na dada domo kumtimua....
 
Yeye sio wa kwanza kutimuliwa kwa pale madale au Tandale...!!mwanamke ambae hakuwahi kutimuli ni penny peke yake
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Yeye sio wa kwanza kutimuliwa kwa pale madale au Tandale...!!mwanamke ambae hakuwahi kutimuli ni penny peke yake
hii nimekusudia wengi si hamisa kipenzi chako pekee!!
Lazima watimuliwe wanajulikana wanafata nini...

Unachezeya waliotoka ..tandale??
Ila ukweli huyo dada ni mweupe mno kichwani!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata ukijampa anahisi unamuimbia taarabu ya mafumbo maisha haya
Kuanzia leo nmekusamehe sitokaa nitaniane nawewe Mpenzi Numbisa !!

Nmegundua Stress zimetujaa kumbe ndomaana Post zangu zilikua zinachukiwa bila sababu[emoji23][emoji23].

Alafu leo ndo nmejua ivi , mtu mpotezaji hata akisikia unakohoa??? Anahisi unamkohoa yeye....nilikua nashangaa sana..kwann nyuzi zangu zipigwe vita ivo???? Kumbe ninyuzi zenye ukweli unaogusa moja kwa moja.

Ngachooooooka[emoji23]
 
hii nimekusudia wengi si hamisa kipenzi chako pekee!!
Lazima watimuliwe wanajulikana wanafata nini...

Unachezeya waliotoka ..tandale??
Ila ukweli huyo dada ni mweupe mno kichwani!
Mwana umleavyo ndivyo akuavyo...walishalelewa hvyoo...!!!

Hamisa anaweza akawa mweupe kichwani ila atakaa vzr tu hakuna kitu kigumu kama kuongea mbele ya hadhira
 
Back
Top Bottom