Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Numbisa wee nakuelewa ....hujakosea kujiita numbisa.[emoji23][emoji23][emoji23] si mbaya maana bwana utakua umempatia ukubwani sio nanilii kung'ang'ania mahusiano ya miaka kumi kisha kuja kusema alihaidiwa mke wa pili oohoo mamie ntakugayaaaa nafasi ya kwanza utaiachiaje shosti!!
Kumbe kuna mambo kutafuta "Huruma Jamii"...nabado mawazo yanakua ya kushikiwa???
Nmecheka sana[emoji23][emoji23]