Hamisa Mobeto nilikubali kuwa mke wa pili wa Diamond

Mwanamke akitaka kuwa mke wa pili au wa kumi na kula raha anazopata bila tamaa ya kuumiza mke halali.. huwa hawapigi picha na mwanaume kwa kuibia na kuishia kurusha mipicha kutaka kuvuruga walichopanga. Imekula kwake.. mondi hakuwahi kutaka kumuonyesha kwa umma kuwa wapo wote.. huyo binti akubali kuacha kumuongelea kama kweli anataka career ya muziki.. nafikiria akija kuimba mwakani je bafo ataongelea hayo ya mondi hivi au vile. Kashaharibu ajipange kufanya yake bila kumtaja huyo baba mtoto wake aliemuita side woman.. wa side kamwe hawezi kuchukuliwa kama mke mdogo na kusemwa wazi.. alikuwa kwenye tamaa ya pesa na aelewe na kuishi kivyake sasa kitu anajua hawezi ndio maana kila sekunde mondi mondi mondi huku mwanaume hakuwahi kumchukulia hata kama yeye ni mke..

Hivi nani wengine wasanii wa ukweli wanapenda career zao na kujituma bila kutegemea kutaja wanaume wasio wataka bali waliwataka kumwaga tu kwa sababu walikuwepo na udespo.. tuandikieni tuwajue basi.. huyu apite tu.. sie tunaomuamini Mungu tukisia ya kuganga basi tena kizaidi na kutaka kujua..
 
Anatakiwa kusema wote wawili hawajielewi (bwana boro na bibie apo) wanataka nini maana bibie alivyokuja miss Mwanza alipata miscarage alitoka hosp siku iyo iyo akaenda kwenye shughuli,mimba ilikuwa ya bwana boro dinda hadi akawa anarusha vijembe snap kuwa anaombea iyo mimba apate mapacha,naona undertaker akafanya yake kitu kikachoropoka fasta..
Karma is a bitch mwacheni nae avune alichokipanda
Atakayemuelewa huyu naomba anitag[emoji56]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bila kumtaja zari kiki hazina mashiko pyeeeee
[emoji119][emoji122]... Niivi Macelebs hawa, yaan kushea na Zari mwanaume kwao ndio Big deal !!

Wala tatizo sio Jamaa
 
Dini ndoa za mitala lakini Dai alikua anazini na wote wawili so hao wanawake wote walikubali kuziniwa na kuzaa hawajitambui na huyo mwanamme ni mzinzi tu.....angekua anajitambua Angel!!
 
Mwanamke akitaka kuwa mke wa pili au wa kumi na kula raha anazopata bila tamaa ya kuumiza mke halali.. huwa hawapigi picha na mwanaume kwa kuibia na kuishia kurusha mipicha kutaka kuvuruga walichopanga. Imekula kwake.. mondi hakuwahi kutaka kumuonyesha kwa umma kuwa wapo wote.. huyo binti akubali kuacha kumuongelea kama kweli anataka career ya muziki.. nafikiria akija kuimba mwakani je bafo ataongelea hayo ya mondi hivi au vile. Kashaharibu ajipange kufanya yake bila kumtaja huyo baba mtoto wake aliemuita side woman.. wa side kamwe hawezi kuchukuliwa kama mke mdogo na kusemwa wazi.. alikuwa kwenye tamaa ya pesa na aelewe na kuishi kivyake sasa kitu anajua hawezi ndio maana kila sekunde mondi mondi mondi huku mwanaume hakuwahi kumchukulia hata kama yeye ni mke..

Hivi nani wengine wasanii wa ukweli wanapenda career zao na kujituma bila kutegemea kutaja wanaume wasio wataka bali waliwataka kumwaga tu kwa sababu walikuwepo na udespo.. tuandikieni tuwajue basi.. huyu apite tu.. sie tunaomuamini Mungu tukisia ya kuganga basi tena kizaidi na kutaka kujua..
Wengine walimuongelea diamond mpk BBC [emoji3][emoji16][emoji23]jamani mbona vitu vya kawaida hvyo hata km humpendi mtu!!!sio kihvyo koko !!!
 
Back
Top Bottom