Ndio wa bongo baadhi yao wa napenda kujishusha umri sasa husishangae kabisaNa kipindi kile anatuambia muda si mrefu ataolewaa mdomo ulikua wake au wa jirani yake
Udogo upii yaan watu kwa kujiona wadogo unachomekewa midushe ya kila rangi udogo uutoe wapii
Halaf we mtoa mada ulikua wapii mi nilihis umetekwa uwe unaaga mfyuuyuuuu
aende zake huko aoe nani
kuolewa mchezo nini...?!!
ale ujana kwa tahadhari maana ugonjwa wa 'kifua' umepamba moto
Yani umenifanya nicheke balaaa maana superstar karibia wote siku hizi wanakufa kwa ugonjwa wa kifua
Dinazarde nipo kwenye msiba uku yombo, mmbea mwenzetu kafariki alimwagiwa tindikali usoni yan umbea huu binamu acha, maana wengine wanasema kafumaniwa, wengine umbea umemponza bas tafran, mpak hasubuh ntakuwa nimepat habar kamil
Umenusulika na gono binamu??
Mimi nnae kaniganda kama sumaku,umeniigiliza binam kuuza dawaaa
Ebu nipishe mie, biashara matangazo, pia nauza gel ya kuosha papuchi yan inakuwa safii na yenye kutoa harufu nzur masaa 24 , inaitwa micro isabel ni kiboko, imetoka Uk ni 75 , mnichek pm , pia kuna dawa za kuongeza makalio,hipsi na manyonyo kwa kiwango unachotaka, tunatoa huduma bora na ya uhakika