Hamisa Mobeto: Sifikirii "NDOA", nakula Ujana

Hamisa Mobeto: Sifikirii "NDOA", nakula Ujana

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Mrembo ambaye sasa amejiingiza kwenye filamu , Hamisa Hassan ‘ Mabeto’ amesema kwa sasa hafikirii suala la kuolewa kwani bado anakula ujana.

Akipiga stori na paparazi wetu, Mabeto alisema bado anajiona mtoto hivyo kuliko kukimbilia maisha ya ndoa bora ale kwanza ujana.

“Suala la kuolewa hapa kwangu hata silifikirii kabisa , mimi bado binti mdogo sana nitawezaje kukimbilia ndoa, hiyo ni mipango ya Mungu kila kitu kinaenda kwa wakati, muda utakapowadia nitaolewa, ” alisema Hamisa.
 
Hana lolote huyo...kwani yule dj keshakula kona nini?
 
Na kipindi kile anatuambia muda si mrefu ataolewaa mdomo ulikua wake au wa jirani yake
Udogo upii yaan watu kwa kujiona wadogo unachomekewa midushe ya kila rangi udogo uutoe wapii

Halaf we mtoa mada ulikua wapii mi nilihis umetekwa uwe unaaga mfyuuyuuuu
 
Ndio wa bongo baadhi yao wa napenda kujishusha umri sasa husishangae kabisa
 
aende zake huko aoe nani
kuolewa mchezo nini...?!!
 
Haka kabinti ni kanono ila Dah wakati anaendelea kula ujana nami nikimpata itakuwa nimeutendea haki moyo wangu Kwakweli.
 
Dinazarde nipo kwenye msiba uku yombo, mmbea mwenzetu kafariki alimwagiwa tindikali usoni yan umbea huu binamu acha, maana wengine wanasema kafumaniwa, wengine umbea umemponza bas tafran, mpak hasubuh ntakuwa nimepat habar kamil
 
Last edited by a moderator:

Hhhhhhhaaaaaaaaa asubuhi unipe taarifa kamiliiiii
 
Last edited by a moderator:
Screenshot_2014-11-10-08-51-23.png
 
Keshajua kama hakuna anemtaka kama mke wengi wanataka waweke muhuri waishie sasa anatoa taarifa kua kua sio lazima .........
 
Mimi nnae kaniganda kama sumaku,umeniigiliza binam kuuza dawaaa

Ebu nipishe mie, biashara matangazo, pia nauza gel ya kuosha papuchi yan inakuwa safii na yenye kutoa harufu nzur masaa 24 , inaitwa micro isabel ni kiboko, imetoka Uk ni 75 , mnichek pm , pia kuna dawa za kuongeza makalio,hipsi na manyonyo kwa kiwango unachotaka, tunatoa huduma bora na ya uhakika
 
Hhhhhhhhaaaaaa wanaotaka manyonyo na makalio wakutafute harakaa sanaaaa
Zinatoka Uk, Ukerewe etiii binam
 
Huyu kweli mtanzania maana hata viongozi wetu wanaitaa nchi changa na nyie mnao mkosoa wambieni waumezenu waongeze idadi watazeeka hao ma ziro kilomita
 
Back
Top Bottom