Hamisa Mobetto amtambulisha rasmi mpenzi wake Aziz Ki wa Yanga

Hamisa Mobetto amtambulisha rasmi mpenzi wake Aziz Ki wa Yanga

Wameona kiwango kimeanza kurudi wame mrudisha jasusi kazini 🙆 aziza kwisha habari yake 😆😆
 
Ivi kwann wanaume hamtaki kumuoa huyu bint hamisa naona Kila mwaka ana mahusiano mapya punde yanakufa atakua na shida
 
Kwani yale ya Hamisa na Rick Ross yameishishia wapi?
 
Hivi Aziz Ki, akimuwowa Hamisa, si ndio anakuwa raia wa Tanzania? Kama ni hivi, hii ndoa inabidi ipiganiwe haraka na TFF ili ajiunge timu ya Taifa.
Hii ni ndoa ya kitaifa kwa kweli. Asante sana Hamisa wewe una pambania taifa lako kitaalam sana.
Sheria za FIFA haziruhusu mchezaji mmoja kuchezea timu za taifa za wakubwa mbili tofauti.
Angekuwa Bukinafaso kachezea timu za vijana angebadili uraia angeruhusiwa kuchezea timu ya Tanzania ya wakubwa.
 
Aah! Hivyo wachezaji mpira wote huwa hawana wapenzi Mzab?
Wasiwe na wapenzi tena....hawa wana wanawake kila sehemu....huko mkoani wakienda kucheza ni full kugegeda ata kama wana wake zao.

Tena nasikia wakirudi home wake zao wanawalazimisha bao la kwanza wamwagie nje mke apime uzito wa bao....kama jepesi basi kimeumana🤣🤣🤣🤣

Wee hujapata bahati ya kuoe dwa na mchezaji wa yanga....alooh wanahonga hao na ni very very gud in bed
 
Back
Top Bottom