Hamisa Mobetto amtambulisha rasmi mpenzi wake Aziz Ki wa Yanga

Hamisa Mobetto amtambulisha rasmi mpenzi wake Aziz Ki wa Yanga

Waafrika bwana usikute career yake ikaishia hivyo kwanza kiwango tayari kishashuka. Ajifunze kwa Bernard Morrison au nick misq
 
Wasiwe na wapenzi tena....hawa wana wanawake kila sehemu....huko mkoani wakienda kucheza ni full kugegeda ata kama wana wake zao.

Tena nasikia wakirudi home wake zao wanawalazimisha bao la kwanza wamwagie nje mke apime uzito wa bao....kama jepesi basi kimeumana🤣🤣🤣🤣
Hahahaaa. Kazi wanayo hao wake zao. Teh
Wee hujapata bahati ya kuoe dwa na mchezaji wa yanga....alooh wanahonga hao na ni very very gud in bed
Nawatakia wapi hao Mzab. 😂 Sijawahi kuwa interested na hao watu.

Kwangu watuchezee mpira tu mi nifurahi.
 
Mwigizaji, Hamisa Mobetto, amtambulisha mpenzi wake Stephane Aziz Ki, mchezaji wa soka wa klabu ya Yanga SC. Mobetto ameachia picha na video akiwa pamoja na MVP wa Ligi ya NBC msimu wa 2023/24 wakiwa pamoja wakila maisha.

Soma:
Maskini Aziz Ki.. Lakini sio mbaya kwakuwa haina makombo na haisomi kilometers
 
Back
Top Bottom