Hamisa Mobetto amtambulisha rasmi mpenzi wake Aziz Ki wa Yanga

Hamisa Mobetto amtambulisha rasmi mpenzi wake Aziz Ki wa Yanga

Wanawake wana ujasiri sana.. ana mkiss vipi😳.
Hayanihusu kumbe ngoja ninyamaze
 
Lawama ziende kwa huyo dada ,utamuachaje mmeo awe TZ peke yake na yeye akiwa burkina faso? Fimbo ya Mbali haiui nyoka ,hata na yeye usikute watu wanapiga huko kwao.
Mdada ni Mtanzania na yupo Tz.
 
Hawa bwana sio hata wapenzi kuna namna malegend tunaona haijakaa sawa.. hawako confortable
 
Kwishnei Aziz Ki, huyo mwanamke ni anguko lake, Hawa slayqueen wa bongo ni matapeli wa mapenzi, Huwa wanaangalia pochi tu
Mwigizaji, Hamisa Mobetto, amtambulisha mpenzi wake Stephane Aziz Ki, mchezaji wa soka wa klabu ya Yanga SC. Mobetto ameachia picha na video akiwa pamoja na MVP wa Ligi ya NBC msimu wa 2023/24 wakiwa pamoja wakila maisha.

Soma:
Is
 
Sheria za FIFA haziruhusu mchezaji mmoja kuchezea timu za taifa za wakubwa mbili tofauti.
Angekuwa Bukinafaso kachezea timu za vijana angebadili uraia angeruhusiwa kuchezea timu ya Tanzania ya wakubwa.
Hata akibadiri uraia?
 
Back
Top Bottom