Hamisa Mobetto amtambulisha rasmi mpenzi wake Aziz Ki wa Yanga

Wanawake wana ujasiri sana.. ana mkiss vipi😳.
Hayanihusu kumbe ngoja ninyamaze
 
Lawama ziende kwa huyo dada ,utamuachaje mmeo awe TZ peke yake na yeye akiwa burkina faso? Fimbo ya Mbali haiui nyoka ,hata na yeye usikute watu wanapiga huko kwao.
Mdada ni Mtanzania na yupo Tz.
 
Hawa bwana sio hata wapenzi kuna namna malegend tunaona haijakaa sawa.. hawako confortable
 
Kwishnei Aziz Ki, huyo mwanamke ni anguko lake, Hawa slayqueen wa bongo ni matapeli wa mapenzi, Huwa wanaangalia pochi tu
Is
 
Sheria za FIFA haziruhusu mchezaji mmoja kuchezea timu za taifa za wakubwa mbili tofauti.
Angekuwa Bukinafaso kachezea timu za vijana angebadili uraia angeruhusiwa kuchezea timu ya Tanzania ya wakubwa.
Hata akibadiri uraia?
 
Ni ndani ya msimu mmoja au forever? Kwamba akiwahi kuchezea Uganda mfano, lakini akaja kuwa raia wa Tanzania. Hawezi forever kuruhusiwa kuchezea Tanzania?πŸ˜•
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…