Analea na haifuti kua wanaume ni mbwa.
Kwa mara ya kwanza, Naanza kidogo kidogo kuelewa maana ya huu msemo
! Wanaume ni mbwa. Nadhani una Ukweli ndani yake. Katika umri wa Azizi Ki, kitu anachokitafuta kwa msichana ni K tu. K ikiwa na sababu ya kutoliwa, lazima aitafute nyingine iliyo katika hali ya kuliwa.
Kwa kawaida, tunaona Mbwa akimfakamia mbwa jike sasa hivi, akitoka hapo, anakimbilia kwa jike jengine lililo katika joto. Cha msingi kwa mbwa dume ni kupata harufu ya jike lililo katika joto, mbwa atalifuata hata ukanda wa pili.
Mbwa Dume hana mapenzi ila tamaa ya kumwaga mbegu katika K yoyote ile iliyo katika joto. Vivyo hivyo, kuna umri Mwanaume mpenda K anakuwa kama mbwa.
Hapo ndipo makosa ya wanawake, wakidhani kuwa Mwanaume atampenda akimbebea mimba. Kumbe angejua hata kuingia period tu, Mwanaume anayependa K yake, anakereka, asingeibeba.
Aidha tuwe tunaelewa tamaduni za watu tofauti tofauti. Mwanaume kutoka west Africa, kumgawa mke wake kwa mtu ili wapate pesa, si shida. Huwa hawana wivu kama sie.