Hamisa Mobetto amtambulisha rasmi mpenzi wake Aziz Ki wa Yanga

Hamisa Mobetto amtambulisha rasmi mpenzi wake Aziz Ki wa Yanga

Analea na haifuti kua wanaume ni mbwa.
Kwa mara ya kwanza, Naanza kidogo kidogo kuelewa maana ya huu msemo! Wanaume ni mbwa. Nadhani una Ukweli ndani yake. Katika umri wa Azizi Ki, kitu anachokitafuta kwa msichana ni K tu. K ikiwa na sababu ya kutoliwa, lazima aitafute nyingine iliyo katika hali ya kuliwa.

Kwa kawaida, tunaona Mbwa akimfakamia mbwa jike sasa hivi, akitoka hapo, anakimbilia kwa jike jengine lililo katika joto. Cha msingi kwa mbwa dume ni kupata harufu ya jike lililo katika joto, mbwa atalifuata hata ukanda wa pili.

Mbwa Dume hana mapenzi ila tamaa ya kumwaga mbegu katika K yoyote ile iliyo katika joto. Vivyo hivyo, kuna umri Mwanaume mpenda K anakuwa kama mbwa.

Hapo ndipo makosa ya wanawake, wakidhani kuwa Mwanaume atampenda akimbebea mimba. Kumbe angejua hata kuingia period tu, Mwanaume anayependa K yake, anakereka, asingeibeba.

Aidha tuwe tunaelewa tamaduni za watu tofauti tofauti. Mwanaume kutoka west Africa, kumgawa mke wake kwa mtu ili wapate pesa, si shida. Huwa hawana wivu kama sie.
 
Aziz Ki Anatumika tyuuh, mwenye mali ni muhandisi.
Wana wachora waja, Lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nyuzi za singo maza na uhalisia ni kama mbingu na ardhi
 
naona kama mabeto katumika sana?!! huwa nawashangaa wanaume wanao kula makombo tena hadharani.
Yeah sure mkuu.

Sijui hawa wanaume wanakuwa na ujasiri gani wa kudate na maskrepa yaliyo kwisha tumika!!
 
Back
Top Bottom