Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii nchi ukiipatia utaishi vizuri sana! mahusiano zaidi ya 100, atakosaje kuwa maarufu?Ila ubalozi huwa ni matokeo ya kazi mtu anayofanya ndio anaonekana influencer anapewa ubalozi, huyu yeye alianzia wapi kabla ya ubalozi?
Nikiri tu huyu sijui ni dada au mama anayeitwa Hamisa Mobetto nimemsikia muda mrefu sana ila sijawahi kujua anafanya shughuli/kazi hasa iliyompatia umaarufu mkubwa hivyo.
AnauzaNikiri tu huyu sijui ni dada au mama anayeitwa Hamisa Mobetto nimemsikia muda mrefu sana ila sijawahi kujua anafanya shughuli/kazi hasa iliyompatia umaarufu mkubwa hivyo.
Video vixen ambaye amechange na kuwa prostitute wa viwango vya juu kibongobongo mkuu, From Diamond to Majizzo to Rick rozee to Aziz K and the list goes on, by the way Diamond ndiye aliyempa huyu binti umaarufu.Nikiri tu huyu sijui ni dada au mama anayeitwa Hamisa Mobetto nimemsikia muda mrefu sana ila sijawahi kujua anafanya shughuli/kazi hasa iliyompatia umaarufu mkubwa hivyo.
Muuza nyapu tu hata kajala nayeBalozi wa kampuni kadhaa
Wimbo wake mmoja maarufu ni upi? Filamu za bongo sifuatilli labda nikiwa nasafiri kwenye bus, pia fashion za bongo sizijui sana huenda labda kweli ni maarufu sekta hizo na nimepitwa japo nawafahamu wadau kadhaa wa zamani sekta hizo kama Ray, JB, Uwoya, Sheria Ngowi n.kMuimbaji mziki, muigizaji, mwanamitindo, balozi.
Kuna watu humu wanatamani mabinti zao wawe kama mobetoVideo vixen ambaye amechange na kuwa prostitute wa viwango vya juu kibongobongo mkuu, From Diamond to Majizzo to Rick rozee to Aziz K and the list goes on, by the way Diamond ndiye aliyempa huyu binti umaarufu.
Nikiri tu huyu sijui ni dada au mama anayeitwa Hamisa Mobetto nimemsikia muda mrefu sana ila sijawahi kujua anafanya shughuli/kazi hasa iliyompatia umaarufu mkubwa hivyo.
kuna moja la muhimu umelificha, hivi mitindo bongo kweli jamani?Muimbaji mziki, muigizaji, mwanamitindo, balozi.