Hamisa Mobetto anafanya kazi gani inayompa umaarufu mkubwa nchini?

Hamisa Mobetto anafanya kazi gani inayompa umaarufu mkubwa nchini?

Nikiri tu huyu sijui ni dada au mama anayeitwa Hamisa Mobetto nimemsikia muda mrefu sana ila sijawahi kujua anafanya shughuli/kazi hasa iliyompatia umaarufu mkubwa hivyo.
Sasa unauliza mobeto? Wengine mbona uulizi? Wema sepetu? Wao wanatobo wanalitumia vizuri! Wanalifanyia promo na kubet! Mwenye dau kubwa analitumia maisha yanaenda
 
Salome ya Diamond Platnumz na Dodo ya Ali Kiba kama video vixen.
Sensema ft Whozu,ameshirikishwa na Christian Bella kwenye Boss,kashirikiana na Seneta Kiraka kwenye Ex wangu pia,kafanya kazi na msanii wa Nigeria aitwae Singah
Sawa mkuu, video vixen ninayemfahamu bongo ni Angel Nyigu😁
 
Ni mdada mzuri kwa sura na umbo, ana nyota ya kutembea na wanaume wenye pesa hivyo ni rahisi kuwa famous. Leo yupo na Ki, huwezi jua baada ya hapo atakuwa na nani. Sio wanawake wote wenye "bahati" ya namna hiyo, kitendo cha kuzalishwa mara mbili na wanaume wawili tofauti kingem-diskwolifai ila nyota yake inang'aa.
 
Nikiri tu huyu sijui ni dada au mama anayeitwa Hamisa Mobetto nimemsikia muda mrefu sana ila sijawahi kujua anafanya shughuli/kazi hasa iliyompatia umaarufu mkubwa hivyo.
Ni malaya wa viwango vya juu. Mfano Kim Kardashian na Amber Rose pale Marekani. Huyu Mobeto nina uhakika hata watoto wake hawajui mama anafanya kazi gani kujikimu na maisha
 
Sasa unauliza mobeto? Wengine mbona uulizi? Wema sepetu? Wao wanatobo wanalitumia vizuri! Wanalifanyia promo na kubet! Mwenye dau kubwa analitumia maisha yanaenda
Wema Sepetu nilimjuaga enzi naangalia bongo movies, pia kuna wakati inadaiwa alikula pesa za Idris Sultan mamilioni alizotoka nazo Big Brother Africa, kuna wakati nilisikia alikatwa utumbo ili apungue unene, kuna wakati alikuwa maarufu pia katika siasa za nchi.
 
Alikua model enzi hizo simu za Tecno na MB za 500 hazijasambaa ndiyo sababu washamba washamba wengi hawajui alianzia wapi na kuuliza hawataki.

Bora wewe umeuliza.
 
Kuna wimbo wa kihaya wa msanii mwenye I.Q kubwa Saida Karoli alikuwa anawafundisha watu kuchambua kama karanga ( analyse like groundnuts) unaimba "Chambua kama karanga Salome."

Sasa kwenye remix ya wimbo huo aliyoifanya Diamond, Hamisa Mobeto ndo alikuwa Salome.Kwa mara ya kwanza nilimjua Hamisa Mobeto kupitia wimbo huo.
 
Ni mdada mzuri kwa sura na umbo, ana nyota ya kutembea na wanaume wenye pesa hivyo ni rahisi kuwa famous. Leo yupo na Ki, huwezi jua baada ya hapo atakuwa na nani. Sio wanawake wote wenye "bahati" ya namna hiyo, kitendo cha kuzalishwa mara mbili na wanaume wawili tofauti kingem-diskwolifai ila nyota yake inang'aa.
Nafikiri pia wanawake wazuri maarufu kama yeye bongo ni wachache sana.
 
Back
Top Bottom