Hamisa Mobetto anafanya kazi gani inayompa umaarufu mkubwa nchini?

Hamisa Mobetto anafanya kazi gani inayompa umaarufu mkubwa nchini?

Wanaume ndo mpo buzy kujadili maisha ya mwanamke ambaye hakuna anayemfikia awe Malaya awe anetembea na Dunia nzima uzur hajaiba au kumdhuru mtu anapata pesa zake
Vip dad zenu mnajua wanalala na machoka mbaya wangap hata uwezo wa kununua sim mpya hawana Bora hamisa anatoka na wanaume wanaombu ulia range 😀😀😀 achen makasiriko
Usikwazike wala usiwe mkali, huyo Hamisa anaonekana ni mtu maarufu ndio maana anajadiliwa kama ilivyo kawaida kwa watu maarufu, sio vibaya watu wakafahamu kazi/biashara/harakati zake zilizomfanya kuwa maarufu.
 
Nikiri tu huyu sijui ni dada au mama anayeitwa Hamisa Mobetto nimemsikia muda mrefu sana ila sijawahi kujua anafanya shughuli/kazi hasa iliyompatia umaarufu mkubwa hivyo.
Acha unafiki wewe ulivyoanza kumsikia ulisikia kafanya nini?fika mahala ungana na furahia mafanikio ya wengine acha hizo dada angu
 
Wanaume wengi ni kwanini mna chuki na huyu binti?? Au ni kwasababu ni singo maza aliefanikiwa na asie na manung'uniko na lawama kwa baba watoto zake??

Acheni hizo wazee, binafsi nikiona pisi kali inataabika au kufanya kazi za hovyo huwa nasikitika sana.

Enewei uyo dem mi nilimfahamu kwenye ngoma ya Quick na Ngwea alikua video vixen enzi hizo.
Ni model, muigizaji na mwanamuziki.
 
Mimi wala sina chuki, nimeuliza tu kumfahamu vizuri. 'Kusema kuweli' ni mzuri hadi udenda unanitoka nikimtazama kwa mbali tu😁
 
Nyimbo maarufu alizoshiriki au kuimba ni zipi ?
Salome ya Diamond Platnumz na Dodo ya Ali Kiba kama video vixen.
Sensema ft Whozu,ameshirikishwa na Christian Bella kwenye Boss,kashirikiana na Seneta Kiraka kwenye Ex wangu pia,kafanya kazi na msanii wa Nigeria aitwae Singah
 
Back
Top Bottom