Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
Majizo ndo alianza kumzalishaVideo vixen ambaye amechange na kuwa prostitute wa viwango vya juu kibongobongo mkuu, From Diamond to Majizzo to Rick rozee to Aziz K and the list goes on, by the way Diamond ndiye aliyempa huyu binti umaarufu.
Usikwazike wala usiwe mkali, huyo Hamisa anaonekana ni mtu maarufu ndio maana anajadiliwa kama ilivyo kawaida kwa watu maarufu, sio vibaya watu wakafahamu kazi/biashara/harakati zake zilizomfanya kuwa maarufu.Wanaume ndo mpo buzy kujadili maisha ya mwanamke ambaye hakuna anayemfikia awe Malaya awe anetembea na Dunia nzima uzur hajaiba au kumdhuru mtu anapata pesa zake
Vip dad zenu mnajua wanalala na machoka mbaya wangap hata uwezo wa kununua sim mpya hawana Bora hamisa anatoka na wanaume wanaombu ulia range 😀😀😀 achen makasiriko
Wewe si tajiri? Matajiri na wivu wapi na wapi?kuna moja la muhimu umelificha, hivi mitindo bongo kweli jamani?
Acha unafiki wewe ulivyoanza kumsikia ulisikia kafanya nini?fika mahala ungana na furahia mafanikio ya wengine acha hizo dada anguNikiri tu huyu sijui ni dada au mama anayeitwa Hamisa Mobetto nimemsikia muda mrefu sana ila sijawahi kujua anafanya shughuli/kazi hasa iliyompatia umaarufu mkubwa hivyo.
Video vixen,mwanamitindo,mwanamuziki, na brand ambassadorNikiri tu huyu sijui ni dada au mama anayeitwa Hamisa Mobetto nimemsikia muda mrefu sana ila sijawahi kujua anafanya shughuli/kazi hasa iliyompatia umaarufu mkubwa hivyo.
Mimi wala sina chuki, nimeuliza tu kumfahamu vizuri. 'Kusema kuweli' ni mzuri hadi udenda unanitoka nikimtazama kwa mbali tu😁Wanaume wengi ni kwanini mna chuki na huyu binti?? Au ni kwasababu ni singo maza aliefanikiwa na asie na manung'uniko na lawama kwa baba watoto zake??
Acheni hizo wazee, binafsi nikiona pisi kali inataabika au kufanya kazi za hovyo huwa nasikitika sana.
Enewei uyo dem mi nilimfahamu kwenye ngoma ya Quick na Ngwea alikua video vixen enzi hizo.
Ni model, muigizaji na mwanamuziki.
Wachangiaji wengi wana wivu nae, ni kasumba ya wanaume kumsema vibaya demu asie wa ligi yake "sizitaki mbichi hizi"Mimi wala sina chuki, nimeuliza tu kumfahamu vizuri. 'Kusema kuweli' ni mzuri hadi udenda unanitoka nikimtazama kwa mbali tu😁
Tukimuuliza Mzee wa Bukinabe lazima atakuwa anafahamu vyema.Nikiri tu huyu sijui ni dada au mama anayeitwa Hamisa Mobetto nimemsikia muda mrefu sana ila sijawahi kujua anafanya shughuli/kazi hasa iliyompatia umaarufu mkubwa hivyo.
Salome ya Diamond Platnumz na Dodo ya Ali Kiba kama video vixen.Nyimbo maarufu alizoshiriki au kuimba ni zipi ?
+ Million 30nimeona clip et mahari fuso mbili za ng`ombe, nimeishiwa pozi
Usiishiwe pozi aliyepata kapata na kama yupo aliyepatwa,huyo kapatikana.nimeona clip et mahari fuso mbili za ng`ombe, nimeishiwa pozi