Hamisa Mobetto apostiwa na page mashuhuri ya udaku Marekani (TheShadeRoom)

Hamisa Mobetto apostiwa na page mashuhuri ya udaku Marekani (TheShadeRoom)

[emoji16][emoji3][emoji3]kumbe je!hainaga ushemeji hyooo

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Ila ka mobeto kana tabia mbaya kama ni kweli teh, huyo lira walikua wakichati kwenye insta pages baby I can't wait to see you kipindi kile misa akaenda hadi kwa mange....Mara vup yupo na Rick .

anyway maslahi kwanza ushemeji baadae, walisikika team misa wakiongea 😁
 
Mange kimambi na represent akili sahihi za wanawake .

Yaani anafurahia mwenzake anaenda kudanga na kuchezea mtalimbo.

Aliwahi mnanga wema eti analiwa ana akina Idris wasio na mbele Wala nyuma .

Hivi leo Idris na wema Nani mwenye mbele na mwenye nyuma[emoji1][emoji1787]

Ilaaa dah acheni tu
 
Hamisa alikua na urafiki na ex wa huyo H baba wa mbelezz Lira Galore, ameamua kujimilikisha?

Lira kama Lira........Wiggle wiggle Wobble wobble Shake Shake.

Lira.jpg
 
Back
Top Bottom