Hamisa Mobetto apostiwa na page mashuhuri ya udaku Marekani (TheShadeRoom)

Hongera Mabeto, tunamshuru Rick, kumpaisha mtz mwenzetu, uliteseka kunyaliwa Ila juhudi zako mungu kaziona na kasimama nawe, waliokunyali wanadamu Ila mungu ni wa huruma dhidi yako.

Too pathetic
Upuuzi unamuhusisha hadi Mungu
Embu jishtukie kijana
 
Yaani tujivunie sista wetu kupapaswa. Aaah NOoooo
 
Hivi unajua maana ya Billionaire????huyu Rick Ross Hana hata $50mπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mavazi yake sasa 🀣 angevua akabaki uchi kabisa
 
Hongera Mabeto, tunamshuru Rick, kumpaisha mtz mwenzetu, uliteseka kunyaliwa Ila juhudi zako mungu kaziona na kasimama nawe, waliokunyali wanadamu Ila mungu ni wa huruma dhidi yako.
Utakuwa shoga wewe siyo bure. Cc cocastic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…