Hamisa Mobetto atarajia kufungua Duka la nguo na urembo

Hamisa Mobetto atarajia kufungua Duka la nguo na urembo

xng hua
[emoji2] [emoji2] [emoji2] dawa ya moto ni maji tu

Mwanamke jeuri muibie mumewe !

Mi sinywi wanguu naagiza Pepsi!
 
Kwanza huwezi Kuishi Asilimia mia unategemea biashara ya Duka hasa za nguo yaendeshe maisha yako hasa kwa haya maisha ya kistaa wanayoish. Boutique hizi za kuzugia mjini.

Wala sio tatizo Hamisa Kuzaa na dai. Hamisa alitaka Kushindana na Zari. Na kujiona yeye Atakuwa nyumba Kubwa Kibao kimemgeukia.
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Leo ama kweli unasemaaa?!!!
Safari moja huanzisha nyngne
Kwanza huwezi Kuishi Asilimia mia unategemea biashara ya Duka hasa za nguo yaendeshe maisha yako hasa kwa haya maisha ya kistaa wanayoish. Boutique hizi za kuzugia mjini.

Wala sio tatizo Hamisa Kuzaa na dai. Hamisa alitaka Kushindana na Zari. Na kujiona yeye Atakuwa nyumba Kubwa Kibao kimemgeukia.
 
Kaweka boutique uchwara ili kupunguza maneno ya u gold digger wake kupitia watoto. Kwa uchumi huu wa anko magu hakunaga biashara ya mbwembwe hivyo eti inalisha familia yake hapo kasahau kutaja child suppprt na kodi ya nyumba anayopewa na majizo
Kwanza huwezi Kuishi Asilimia mia unategemea biashara ya Duka hasa za nguo yaendeshe maisha yako hasa kwa haya maisha ya kistaa wanayoish. Boutique hizi za kuzugia mjini.

Wala sio tatizo Hamisa Kuzaa na dai. Hamisa alitaka Kushindana na Zari. Na kujiona yeye Atakuwa nyumba Kubwa Kibao kimemgeukia.
 
Hongera Madam drama...ila ndo ajitahidi kuweka bei za kawaida maana wakiweka yale mabei vichaa atajikuta anavaa hizo nguo na mama ake.
Zitanunuliwa tu

Pole hater
 
[emoji1] [emoji1] kabla ya kujibu unajua kua hamisa na dai wameishi wote for almost a year madale?[emoji1] [emoji1] [emoji1]

Halafu diamond ni Muslim ,Zari alikua Muslim akaritadi(akabadili kua mkristo)ili aolewe na ivan[emoji1] [emoji1] [emoji1] akaishia kuzaa watoto wa3

Hakuna ndoa kati ya mkristo na muislam.
Upooo?!!!!!
Hahaha kwanza elewa unaongea na mtu alirkwenda shule, wazazi wangu walitimiza wajibu wao kunisomesha mpaka hatua ambayo Mimi nilisema "Hey Mom and Dady Pleeeeeease Gimmmmme a breaaaaaaak, I just want to live on my own "

Sasa kupitia elimu niliyoipata inaniambia Kuwa kuna Ndoa ya serikali ambayo hufungishwa na DC.... Hivi unajua ndoa ya serikali almaarufu Bomani inaweza kufungishwa kwa watu wenye imani tofauti ???? Wewe ni nani kusema ndoa yenye washiriki wawili katika imani tofauti si ndoa kinyume na sheria ya ndoa ambayo inatambua ndoa ya namna hiyo

Hivi unaelewa Tanzania tuna ndoa za aina ngapi ????? Unafahamu ndoa za kimila ( Customs marriage ) ?????? ... Na unaelewa presumption of marriage ?????.
 
Back
Top Bottom