Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh Teh.....basi itapendezaUsijali ntaleta vyote hvyooo wakala wake nisielipwa nipoo
Tatizo anataka dau Kubwa na yeye aponee hapohapo. Laki Mbili inamtosha mtoto.Child support ni haki yake ile mimba haijatoka kwa roho mtakatifu !!!
[emoji106]Kuliko pesa za kungojea kheri apate ya jasho lake isiyo na masimango
Dada unakufuruChild support ni haki yake ile mimba haijatoka kwa roho mtakatifu !!!
agiza kreti mama....[emoji2] [emoji2] [emoji2] dawa ya moto ni maji tu
Mwanamke jeuri muibie mumewe !
Mi sinywi wanguu naagiza Pepsi!
Kwanza huwezi Kuishi Asilimia mia unategemea biashara ya Duka hasa za nguo yaendeshe maisha yako hasa kwa haya maisha ya kistaa wanayoish. Boutique hizi za kuzugia mjini.
Wala sio tatizo Hamisa Kuzaa na dai. Hamisa alitaka Kushindana na Zari. Na kujiona yeye Atakuwa nyumba Kubwa Kibao kimemgeukia.
Inategemeana unaongelea kumtosha kupi!! Maana matumizi yanatofautiana kulingana na uwezo.Tatizo anataka dau Kubwa na yeye aponee hapohapo. Laki Mbili inamtosha mtoto.
Kwanza huwezi Kuishi Asilimia mia unategemea biashara ya Duka hasa za nguo yaendeshe maisha yako hasa kwa haya maisha ya kistaa wanayoish. Boutique hizi za kuzugia mjini.
Wala sio tatizo Hamisa Kuzaa na dai. Hamisa alitaka Kushindana na Zari. Na kujiona yeye Atakuwa nyumba Kubwa Kibao kimemgeukia.
Hahaha kwanza elewa unaongea na mtu alirkwenda shule, wazazi wangu walitimiza wajibu wao kunisomesha mpaka hatua ambayo Mimi nilisema "Hey Mom and Dady Pleeeeeease Gimmmmme a breaaaaaaak, I just want to live on my own "[emoji1] [emoji1] kabla ya kujibu unajua kua hamisa na dai wameishi wote for almost a year madale?[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Halafu diamond ni Muslim ,Zari alikua Muslim akaritadi(akabadili kua mkristo)ili aolewe na ivan[emoji1] [emoji1] [emoji1] akaishia kuzaa watoto wa3
Hakuna ndoa kati ya mkristo na muislam.
Upooo?!!!!!