Hamisa Mobetto avujisha picha zake na Diamond

We nawe sasa mbona kitu kidogo hiko sana kuzaa hv mziki wake unashukaje sasa?

Na kwa nini Zari asimsehe s atakua mpumbavu sasa
 
dua la kuku hilooo,
DUA
 
Watu wapole wabaya sana asee...yaani mi nakaonaga kapoole!

..alivyofatuka sasa hivi dooh! ....Domo angekausha hiyo interview, tutatumiwa picha ya utupu wake very soon, shauri yake!
Hamissa mpole hivi kwa kumuona lakini sio mpole ukikaa nae karibu.

Na kilichomuuma watu kumtukana wakati mond mimba aliiikubali na walikua wanailea vizuri tu sasa mzigo wote na lawama akaahamishiwa yeye
 
Katika mtu mwenye mashabiki wasio na akili Nasib anaongoza......Sasa hii inahusikaje na kumshusha mtu? Yani kuna watu wanatia huruma walivyo mataahira

Wasanii wote wanapenda kuzungumziwa, its good for business...Na muda mwingine ni wao wenyewe ndo wanajitengenezea scandals ili wabaki midomoni mwa watu.....Sasa wewe taahira sijui unacholalamikia ni nini?
 
We nawe sasa mbona kitu kidogo hiko sana kuzaa hv mziki wake unashukaje sasa?

Na kwa nini Zari asimsehe s atakua mpumbavu sasa
NIA ZA WATU NI KUMSHUSHA KWA HALI YOYOTE,HIVYO KWAO CHOCHOTE KILICHO KARIBU NI SILAHA TOSHA,DADA ANGU HAMISA ANAJIAIBISHA MWENYEWE TU MAANA ISHAONEKANA LENGO LAKE NI KUFANYA ANACHOFANYA(kuaribu) NA NDO MANA ALIJIRAHISISHA,NA HIZO HELA ALIZOKUA ANATAKA ALIPWE IWE SIRI BI ZARI KAZISTUKIA NA KAGOMA ZISITOKE,KWA HYO WATU WAMESHINDWA FIKA DAU NDO MANA ANAFANYA AFANYALO SASA,KWA NAMNA HII AKIITWA MALAYA KUNA KOSAAA?
 
Mnamponza mwisho wa siku atabaki yeye na mwanae na sisi washabiki tumeshasahau, ana washauri wabaya she had to play it cool nadhani domo angeshauriwa na wenye busara aache utoto alee, ila namna hii ana justify kutelekezwa na hizi sheria za kibongo hata akipewa laki2 kwa mwezi anaonekana anahudumia
 
Huyo mwanamke ataishia kuzalishwa tu akili za maisha hana na cku zote mwanamke mjinga papa lake huchakazwa tu ...angekaa kimya angesaidiwa hao wote wanaomshabikia hata mia hawampi
 
Hamissa mpole hivi kwa kumuona lakini sio mpole ukikaa nae karibu.

Na kilichomuuma watu kumtukana wakati mond mimba aliiikubali na walikua wanailea vizuri tu sasa mzigo wote na lawama akaahamishiwa yeye
Inauma sana asee hata ingekuwa wewe , mimba uikane na bado uniite malaya live, wakati umalaya tumefanya wote!

Mi naona hamisa yuko sawa asee!
 
UTAKUA TEAM WEMA TU WEWE,MAANA NDO TEAM NYUMBU KAZI KUMFATILIA MONDI ALL THE TIME
 
Hajielewi huyu mtoa mada
 
Huna lolote ndo walewale
 
Kuna watu mna mioyo yaani umekaa kabisa unatumia mb zako kutetea mahusiano/maisha binafsi ya mtu mwingine? Na inaonekana umeguswa kweli kama wewe ndo mhusika
 
Na wewe umemegwa mara ngapi na Diamond?

Hakuna mwanaume rijali anayeweza kuandika upumbavu kama huu, wewe chakula cha watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…