Tumegee kidogo darling, ukimchekea mwanaume anakuona bogus!Inauma navaa viatu vya hamisa havintoshi kabisaa tena Mimi ningefanya worst Mimi Dada kuna risk nimetake kwa my ex husband mpk anajutaaa
Alichofanya sahihi kabisa unakataa mtoto wako?
Tena bogus wa kiwango cha standard gauge kabisa pesa na utu ni viti viwili tofauti nakuambiaTumegee kidogo darling, ukimchekea mwanaume anakuona bogus!
View attachment 591695Tumegee kidogo darling, ukimchekea mwanaume anakuona bogus!
Kabisa kabisaTena bogus wa kiwango cha standard gauge kabisa pesa na utu ni viti viwili tofauti nakuambia
Mdau mambo hayo yanataka uwe na ushahidi usije pelekwa polisi kama huyo Dimpoz.
Diamond angekua wa maana kama angeogopa kufanya ngono na changudoa! Otherwise wote ni machangu tu tofauti zao jinsia maana huwezi kushiriki tendo alafu ukakataa matokeo ya tendo uliloshiriki, Kama Hamisa anakataliwa kwa kua ni Malaya basi hata yeye Mond mamake alikataliwa na mzee Abdul kwa kisa hiko hiko cha umalaya wa Sandra!
Money.Dunia inapoelekea ni balaa tupu
Yani mwanamke ndio anasambaza picha za utupu kwa shangwe zote(kwamba yuko so proud kwamba mtu fulani ameshawahi kumfcuk)
What's so good kuhusu Diamond jamani!
Duh! Bongo itakua kama ulayaNa huyo ni mama pata picha watoto wake watakuwaje, siku hizi kina mama heshima hatuna kabisa, imagine unakuwa mkubwa unakutana na picha za utupu wa mama ako.