Hamisa Mobetto avujisha picha zake na Diamond

Hamisa Mobetto avujisha picha zake na Diamond

Inauma navaa viatu vya hamisa havintoshi kabisaa tena Mimi ningefanya worst Mimi Dada kuna risk nimetake kwa my ex husband mpk anajutaaa
Alichofanya sahihi kabisa unakataa mtoto wako?
Tumegee kidogo darling, ukimchekea mwanaume anakuona bogus!
 
Huyu ndo prince abdullatwiifff
Tumegee kidogo darling, ukimchekea mwanaume anakuona bogus!
View attachment 591695
Screenshot_2017-09-19-16-23-58.png
 
All in all wanawake tujiongeze LA sivyo tutatesa watoto mpaka basi
 
Salomeeeeeee kumbe ilikuwa wanakulana wangese hawa.. Eti kanichambua kama karanga tiiiiiiii hadi mimba, sasa kushtakiana ya nn jamanii.. Hhaaa
 
Haka kabinti kana matatizo ....hakuna namna ya kujistify huu ujinga ....kanaonekana hakana makuu kumbe ni hatari ....yote haya mitandaoni ili iweje?
 
Mdau mambo hayo yanataka uwe na ushahidi usije pelekwa polisi kama huyo Dimpoz.


Dimpoz siyo kama hana akili kusema vile....wanaomjuwa Mama Diamond mbona hawashangai? Sandra ni changu toka kitambo na ndiyo maana ana watoto na wanaume tofauti tofauti.
 
Diamond angekua wa maana kama angeogopa kufanya ngono na changudoa! Otherwise wote ni machangu tu tofauti zao jinsia maana huwezi kushiriki tendo alafu ukakataa matokeo ya tendo uliloshiriki, Kama Hamisa anakataliwa kwa kua ni Malaya basi hata yeye Mond mamake alikataliwa na mzee Abdul kwa kisa hiko hiko cha umalaya wa Sandra!


Ni kweli kwani Mama yake Diamond ni changu anayefahamika, na tabia hii kamrithisha mwanaye.
 
Poz LA bobeto linaonyesha apo alishagegedwa tayari ,jamaa usingiziii ziii
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Dunia inapoelekea ni balaa tupu
Yani mwanamke ndio anasambaza picha za utupu kwa shangwe zote(kwamba yuko so proud kwamba mtu fulani ameshawahi kumfcuk)

What's so good kuhusu Diamond jamani!
Money.
 
Na huyo ni mama pata picha watoto wake watakuwaje, siku hizi kina mama heshima hatuna kabisa, imagine unakuwa mkubwa unakutana na picha za utupu wa mama ako.
Duh! Bongo itakua kama ulaya
 
Back
Top Bottom