Ana mke wa public na private jmn[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]mond unamsumbua mama bhana akisema amuweke zari karibu mara unamletea hamisa, akijisogeza kwa hamisa mara unamrudisha zari.
anabaki anatanga tanga tu, usiku anaenda kumcheck dully mchana anawapost nilan na Tifa.
Hapo chachaSasa misa naye alisubiri nn mpaka kiti kishakaliwa na dillish ndo analeta picha, kanikera ila simpatii picha Bi tukinao maana Mwanaume kamsaliti na mwingine tena
Ila huu mwaka jmn umemjia vibaya mungu amfanyie wepec huyu bi tukinaoKama namuona zari anavyozmia jamani what a bad monday
Ila md mwengine mond aachwe tu jmn huu ndo muda wake wa kuenjoy life bi tukinao Bata ameshazila cnkule Ug zari ana ma ex kibao wala hakua ivan pekee...alipoachana na ivan alizurura vya kutosha....mmoja wapo ni yule farook aliyevujisha video ya zari akijisaga
Na hapo ndo alipokosea huyu Bibi naeZari nae bana eti Bosslady?...kitoto kinampelekesha kwa umalaya si akipige chini atafute mtu mzima mwenzie
Hapo Sasa nae alikuwa anajidai cn hamisa akawa anamchoraaa tu inauma kuringa unapendwa kumbe watu wanakuchora tu[emoji1] [emoji1] [emoji1] atashusha gazetiiii kabisaaaa!!ila kanikosha sana hamisa maana alisema dai kwake hapinduii yaani mwanaume alimuona km malaikaaa loooh
Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
Na mbaya zaid mond anavyomtumia Sasa mara washikane matako mara Maziwa hlf uamke ukute picha kama zile na mwanamke mwengine inaumaje mungu ampe wepec kama alipata ujasiri wa kushikanashikana kwenye msiba wa mamake hata hili pia atalivumilia tukwani zari ni kisiki cha mpingo eeh!! ila ni jasiri sana yule mama.
yaani unaamka unakutana na picha za babe kitandani na mwanamke mwingine, maumivu yake moyoni hayaeezeki
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] tupambane nayo tu wallah loh ila mungu anamakusudi yake alivyowapa vichwa viwili hawa wanaumeHahahaaaa ila zari ana moyo jamani,mi usengeli huu siuwez mbona.na hereni had kwny tangazo la Danube alitamka......kukiri kuwa room kwake kalala mtu na bado yumo.mi nlijuaga uongo anti
Kweli kila mtu apambane na huba lake
sijui watoto wao wakikua watajifunza nini kutoka kwenye hizi issue zao![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
"Ujana ni Nusu ya uwendaazimu"
hahahahahaha...!! hii comment hatar Da huuuNa mbaya zaid mond anavyomtumia Sasa mara washikane matako mara Maziwa hlf uamke ukute picha kama zile na mwanamke mwengine inaumaje mungu ampe wepec kama alipata ujasiri wa kushikanashikana kwenye msiba wa mamake hata hili pia atalivumilia tu
Hata mm alafu huwa nafikiria sijui huwa linamanisha nn na wallitoa wapiHilo jina linanifurahisha bi tukinao hahahaha wabongo htr
hahaha dada angu na wewe hupitwi.... unaendeleaje lakini?kule Ug zari ana ma ex kibao wala hakua ivan pekee...alipoachana na ivan alizurura vya kutosha....mmoja wapo ni yule farook aliyevujisha video ya zari akijisaga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hivi tukinao ina maana gani jamanIla huu mwaka jmn umemjia vibaya mungu amfanyie wepec huyu bi tukinao