Hamisa Mobetto avujisha picha zake na Diamond

Hamisa Mobetto avujisha picha zake na Diamond

mond unamsumbua mama bhana akisema amuweke zari karibu mara unamletea hamisa, akijisogeza kwa hamisa mara unamrudisha zari.
anabaki anatanga tanga tu, usiku anaenda kumcheck dully mchana anawapost nilan na Tifa.
Ana mke wa public na private jmn[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]
 
kule Ug zari ana ma ex kibao wala hakua ivan pekee...alipoachana na ivan alizurura vya kutosha....mmoja wapo ni yule farook aliyevujisha video ya zari akijisaga
Ila md mwengine mond aachwe tu jmn huu ndo muda wake wa kuenjoy life bi tukinao Bata ameshazila cn
 
Duuuhh sioni hata pakumtetea huyu kakaangu diamond sasa jamani
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] atashusha gazetiiii kabisaaaa!!ila kanikosha sana hamisa maana alisema dai kwake hapinduii yaani mwanaume alimuona km malaikaaa loooh

Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
Hapo Sasa nae alikuwa anajidai cn hamisa akawa anamchoraaa tu inauma kuringa unapendwa kumbe watu wanakuchora tu
 
kwani zari ni kisiki cha mpingo eeh!! ila ni jasiri sana yule mama.
yaani unaamka unakutana na picha za babe kitandani na mwanamke mwingine, maumivu yake moyoni hayaeezeki
Na mbaya zaid mond anavyomtumia Sasa mara washikane matako mara Maziwa hlf uamke ukute picha kama zile na mwanamke mwengine inaumaje mungu ampe wepec kama alipata ujasiri wa kushikanashikana kwenye msiba wa mamake hata hili pia atalivumilia tu
 
Hahahaaaa ila zari ana moyo jamani,mi usengeli huu siuwez mbona.na hereni had kwny tangazo la Danube alitamka......kukiri kuwa room kwake kalala mtu na bado yumo.mi nlijuaga uongo anti

Kweli kila mtu apambane na huba lake
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] tupambane nayo tu wallah loh ila mungu anamakusudi yake alivyowapa vichwa viwili hawa wanaume
 
hizi zote ni hasira za dai kumkana mtoto na pia kutokupiga picha na mwanawe siku y 40 hiyo jana 😱😱😱😱😱😱 huyu bint ana nux majizo alimpiga pamnyaga akamwacha dai naye kamakana
 
Na mbaya zaid mond anavyomtumia Sasa mara washikane matako mara Maziwa hlf uamke ukute picha kama zile na mwanamke mwengine inaumaje mungu ampe wepec kama alipata ujasiri wa kushikanashikana kwenye msiba wa mamake hata hili pia atalivumilia tu
hahahahahaha...!! hii comment hatar Da huuu
 
kule Ug zari ana ma ex kibao wala hakua ivan pekee...alipoachana na ivan alizurura vya kutosha....mmoja wapo ni yule farook aliyevujisha video ya zari akijisaga
hahaha dada angu na wewe hupitwi.... unaendeleaje lakini?
 
Mondi anapenda hawa wakinamama maskrepa kwasababu wana chapati laini. Ukishusha boxer tu kitu haina breki, sio lazima utumie vilainishi
 
Back
Top Bottom