Hamisa Mobetto avujisha picha zake na Diamond

Hamisa Mobetto avujisha picha zake na Diamond

[emoji1] [emoji1] [emoji1] atashusha gazetiiii kabisaaaa!!ila kanikosha sana hamisa maana alisema dai kwake hapinduii yaani mwanaume alimuona km malaikaaa loooh

Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
Heheheh inauma jamani yaan ukitoka Tz anaingizwa mwingine,ila wanaume wana tabia hiyo kabisa sio dai tu,,hata waliofunga ndoa na wanaishi na wake zao mbali
 
Hahahaaaa ila zari ana moyo jamani,mi usengeli huu siuwez mbona.na hereni had kwny tangazo la Danube alitamka......kukiri kuwa room kwake kalala mtu na bado yumo.mi nlijuaga uongo anti

Kweli kila mtu apambane na huba lake
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] atashusha gazetiiii kabisaaaa!!ila kanikosha sana hamisa maana alisema dai kwake hapinduii yaani mwanaume alimuona km malaikaaa loooh

Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
Mimi team zari ilikua inanichosha mara ohoo tuma picha aliyopiga na mond...kaziachia wanamtukana eti wanataka picha ya mtoto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
FULL VIDEO HAMISA NA DIAMOND PLATINUMZ, SASA MAMBO MITANDAONI YOUTUBE UMEJAA UBUYU HUU...

hamisa ameona amalize utata..

23f180156ce41c3b21c0211d272037ec.jpg

Mambo ya Mange kimambi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] aah kudadeki...dunia haina SIRI
 
Huyu hamisa amekaa kipole pole kumbe wa chinichini. Inataka moyo kuwa na relationship na diamond. Halafu inaonyesha condom kwake mwiko. Hiyo picha ilipigwa wakati diamond hana habari.ni kama anataka kurusha roho zari
 
Back
Top Bottom