Hamisa Mobetto avujisha picha zake na Diamond

Hamisa Mobetto avujisha picha zake na Diamond

Mi naona ujinga tu kama kweli kazalishwa na anauhakika si aende mahakamani akadai haki yake unakuta demu umegonga na dhana halafu anadai mimba yako wakati kumbe kuna jamaa kapita tatizo hawa dada zetu hamnazo
 
Screenshot_2017-09-19-00-02-13.png


Jina limebadilishwa na kama mnavyoona picha baba wa mtoto ni Daimond na za chini ya kapeti mama mtu na Esma eti hiyo ni kumkomesha zari[emoji23][emoji23]

Hamissa nilikua nasubiri hii siku maana nilikua siamini. Kesho daimond sijui atasemaje,na hapo unaambiwa Hamisa hajanya akinya team zari mtakufwa na presha.

Hata mi ningekuwa Hamisa huko kukanwa vepe kwani Zari ana nini. Tena Hamisa iingie fasta nyingine ulete wa pili mlingane [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijadili maisha ya watu, lakini Hamisa ni MALAYA. Si mwanamke wa kuoa. Na diamond akikosea amwache Zari, eti aoe huyu malaya, hatatulia tena.

Hakuna mwanamke mwenye busara na aliyetulia, atakuwa na matabia kama ya hiki kijukuu changu hamisa. Ninahisi amelelewa bila baba wa maana ndiyo sababu anakishi kichangudoa doa. Anachokifanya ni kumdhalilisha mtoto.
 
Kizazi cha dot com hiki huwezi kukubali mtoto kizembe kama mwanamke mwenye haumwamini, af mond siyo mpumbavu wakukubali kila mimba anayoletewa. Mimi naimani kipimo cha DNA kitaleta majibu ya ukweli tu muache kumforce diamond akubali mtoto (hasa kwa wanawake wengine humu ambao wanaona yani wenyewe ndio wamenewa saaana)akati kademu kenyewe mnakaona kabisa vitu kanavyovifanya in vya kimalaya tu yani demu anaforce nane kuwa sifuri lazima itaonekana tu



NB; sina team...... NIMEONGEA KAMA MWANAUME TU
 
Inaonekana kama amekua hacked.....this doesn't make sense.....bwana nasibu si baba wa yule mtoto.....
 
Dah!ila kama kweli kazaa na daimond hamisa ni wale wanawake nyoka kabisa hafai hata kumsogelea,alichofanya sio kumkomoa bali ni kuumiza nafsi ya daimond,na hakuna mwanaume anayekubali kushindwa yatamtokea pua.
Nampenda sna zari,kama mwanamke nimeumizw sana jamani mwanaume anauma haswa ukimpeda...wenye povu fueni tu hakunaa namna
 
Back
Top Bottom