Hamisa Mobetto: Diamond anaweza akanioa

Kukaa kule ni malipo ya kumzalia watoto wawili hata Mimi ningeji nafasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiiiiiiii nacheka ki chatlle mie,nyumba imezua mambo,watu wanaumia na vile insta daddy anataka ongeza ya pili akinunua kweli itakua ya nillan maana ndo mwenye uraia south. Wangejua nyumba za ivan kodi ndefu zinazompa jeuri zari ya kusomesha wanae na kufanya mambo mengi atakavyo wala wasingelalama kuhusu ile nyumba
 
Wanasahau kama zari ana nyumba ambazo kaachiwa na mume wake .....zipo na zimepangishwa ...akitaka kukaa atakaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila kuwadhalilisha watamuongelea saa ngapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] coco ana mapenzi ya kipofuu huyuu!ndoa my foot

Sent using Jamii Forums mobile app
Kima ni Zari hilo lajulikana kabisaa!!utimu mbaya sanaaaaa!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] !!!!yaani chongo unaona kengezaa!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] coco babe mm nampendaga tu lakini hapo sipo upande wake ukweli unajulikana
 
Umeona eeeh ila isfikie hatua ya kusema hana pa kukimbilia mweeeeeh zari sio kama chuchunge

Sent using Jamii Forums mobile app
Hana nyumba zerich nakumbuka daimond alivyonnua south aliweka waraka mrefu mnoo seems Ivan alikua anapanga south daimond akaona Annue nyumba amkalishe mama watoto wake...siku ya bday ya Zari Ivan akachukia sana ile kitu kwa nini kamdhalilisha!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…