[emoji23][emoji23][emoji23] nilichekaga alivyoandika hivyo kweli msichana asiyekua na akili zinazoumia ni sehemu zake za siri.Pesa pesa maana ana hamu na kiu ya kuitwa bosslady na yeye ndo maana kazaa na matajiri tupu
Hamisa angekua Jacklin mengi walai bongo pasingekalikaaaaaaa who is diamond bwana weeee hela zenyew za kuungaungaNa pia ana mengi ya kujivunia kuliko akina tununu wanaojivunia kuzaa na wanaume matajiri pekee
Woyiiii umesema nani mubayaKila mtu na namna anavyoona asee, yani kale kadada n kabaya sijui wanakapendea nini
Nyumba anazo ule waraka ulikua wa Mange...Hana nyumba zerich nakumbuka daimond alivyonnua south aliweka waraka mrefu mnoo seems Ivan alikua anapanga south daimond akaona Annue nyumba amkalishe mama watoto wake...siku ya bday ya Zari Ivan akachukia sana ile kitu kwa nini kamdhalilisha!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] nilichekaga alivyoandika hivyo kweli msichana asiyekua na akili zinazoumia ni sehemu zake za siri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kweli Misa alimwendea domo kwa mganga au porojo za tu mama dangote...Yaani Mimi nakuacha ukiwa na kitu ili usinipe sababu au kuniimba mkoleni!dharau sitaki Mara kima Mara side chick samahaani!!sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamisa angekua Jacklin mengi walai bongo pasingekalikaaaaaaa who is diamond bwana weeee hela zenyew za kuungaunga
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la kulelewa na mama mwenye kisirani tu bila baba ndo hilo.[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] jamani kama lishoga lile hata halijielewi ...hivi hawaoni Wanaume wenzie hajishangai kwani???
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani mungu nae huwa anaona kabisa Fulani nikimpa kile atasumbua wenzie anakunyimia mbali hukoTungeonyeshwa hadi choo cha dhahabu ,kwa kifupi enzi za mashauzi zingerudi kwa kasi ya ajabu
Wakawaida sana tena sanaaa tushukuru tu hizi beauty camera na maedit zinatusaidia siku hizi. Ukiwaona live baadhi ya mastaa hutoamini macho yako.Kila mtu na namna anavyoona asee, yani kale kadada n kabaya sijui wanakapendea nini
Yaan pale ndo alionekana zero brain kabisa mameneja wa wcb hawampendi yule wanamuona kama kaleta omukosi.Na kilichochekesha zaidi alipomuandikia maneno hayo kwa zama wakati ugomvi hauhusu kugombania wanaume
Mbaya zaidi wanaume anaojidaia wala hawana time naeYaan pale ndo alionekana zero brain kabisa mameneja wa wcb hawampendi yule wanamuona kama kaleta omukosi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan pale ndo alionekana zero brain kabisa mameneja wa wcb hawampendi yule wanamuona kama kaleta omukosi.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pussy so hot[emoji23][emoji23][emoji23] nilichekaga alivyoandika hivyo kweli msichana asiyekua na akili zinazoumia ni sehemu zake za siri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kma anategemea mbunye ndio aishi lazima adharaulikeHamisa hapo ndo anapofeli nampenda sana tu ila kumpa ukweli masti kwa mtu anaejielewa hawezi kujibu kirahisi hvyoo!hawa wanawake sijui mondi anawapa nini!
Mpk wanakubali kudhalilishwa hivi yaani penny tu ndo alisimama imara!wengine wote zeros kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kesho mwasikiliza nyimbo zake
Yawezekana wadada wa mjini kwa kuroga acha kabisa!!Hivi kweli Misa alimwendea domo kwa mganga au porojo za tu mama dangote...
Sent using Jamii Forums mobile app
That's a problem!!!daimond ni mama ake mtupuTatizo la kulelewa na mama mwenye kisirani tu bila baba ndo hilo.
Sent using Jamii Forums mobile app