Hamisa Mobetto: Diamond anaweza akanioa

Hamisa Mobetto: Diamond anaweza akanioa

Hana nyumba zerich nakumbuka daimond alivyonnua south aliweka waraka mrefu mnoo seems Ivan alikua anapanga south daimond akaona Annue nyumba amkalishe mama watoto wake...siku ya bday ya Zari Ivan akachukia sana ile kitu kwa nini kamdhalilisha!

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyumba anazo ule waraka ulikua wa Mange...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamisa hapo ndo anapofeli nampenda sana tu ila kumpa ukweli masti kwa mtu anaejielewa hawezi kujibu kirahisi hvyoo!hawa wanawake sijui mondi anawapa nini!

Mpk wanakubali kudhalilishwa hivi yaani penny tu ndo alisimama imara!wengine wote zeros kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kma anategemea mbunye ndio aishi lazima adharaulike

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom