Hamisa Mobetto: Diamond anaweza akanioa

Hana akili huyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majizzo hawezi ujinga wa Misa. Sheria za Majizzo ndo zilizomtoa kwa Majizzo maana bi dada anapenda attention na Majizzo hataki hayo maujinga ya media sijui mashoga mashoga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri wa bure kwa chuchunge na timu yake

Relationship zikikushinda
Unaeza jaribu ship zingine kama
Internship ama fellowship


Dear ladies Flat Ass is caused by sitting in a relationship that is not yoursdont argue with me am not your father
Chuchunge hakubaliani na hilo
Anadhalilishwaga lkn yupo tu
Napataga hasira kama nimtandike makofi
Mtu gani king'ang'anizi hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa ile kichwa Mkuu sijui kama Majizo anaweza mrudia
Akifanyiwaga interview unaona kabisaaa kichwa yake haiko sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Side chick side kid, wanaume sometimes
Pole hamisa


Hamisa ahitaji pole yeyote, yeye alivyolala na Diamond alishajuwa kuwa yeye ni side chick au an experiment at best (demu wa kuondoa nyege). Hata alivyojipiga picha akiwa kitandani na Diamond alionekana kuwa na uwoga kwa sababu alishajuwa kuwa kaiba na hakuwa na uhakika kama atapata matunzo. Side chick ni side chick tu, na kama kweli ana wish kuolewa na Diamond basi Diamond ajiandae kufirisika mapemaaaaa. Kuna mademu hasara dizaini ya kina Hamisa na Wema (kuchapwa na kuachwa solemba) na mademu wenye nyota kama Zari.
 
Hakuna mwanamke mondi hajamdhalilisha kinachomsaidia Zari ni kimoja tu si kwa sababu amezaa nae hapana ni kwa sababu anajua akimdhalilisha atamfungulia mashatka na atamfilisi baasi huo ndo ukweli lakini kwenye mapenzi sio Wema, Sio Hamisa wala Zari waliomove on kirahisi hvyo!!kosa kubwa la hamisa ni hilo wanalolifanya wengine mpk Leo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MONDI yupo vizuri pande zote,nothing else
 
Hamisa na wema ndo zzzzzzzz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…