Hana akili huyoYule kumbe kupata zero form 4 ilikua haki yake kabisaaa kichwa maji kile.....eti team inamwambia unapendwa na yeye anakubali tu tatizo ni limbukeni yule dogo anaona kama ameokota dodo chini ya mwarobaini ......nimemhurumia alivyokua anajishebedua na kale ka wimbo ka jibebe Mara paaap anaitwa sidechick na mtoto side kid mweeeeeeeeeh akomage tenaaa......basi siku si nyingi utaona anajitia tena kiherehere sijui ubongo wake umeozaaaa!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app