Ana mambo ila sisi wanawake ndo tunambeba utimu huu unamfanya afanye anachokitaka yaani anajua kabisaa hapa kuna watu watamshambulia hamisa,wengine wema, wengine jokate,wengine peny,wengine Zari hapo yeye roho kwatuuu!!kumbe kudhalilishwa anadhalilishwa mwanamkeHahahaa!sijawahi ona mwanaume mswahili kama huyu.
Mwanaume tena si mwanaume,mvulana huyu ana mambo ya ajabu sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] humu sisi wote watakatifu hatuibi mabwana za watu wala waume za watuWadada wa JF kujifanyaga mna akili na kujua kuhandle mahusiano yenu na kushauri wengine halafu mara twaap Machuchu yenu na picha za utupu tunatumiwa humu.
Halooooooo....
Wala tulio nao hawatupelekeshi kwa lolote. Wakituzingua tunawaacha right away sababu tuna pesa zetu😛😛😛[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] humu sisi wote watakatifu hatuibi mabwana za watu wala waume za watu
Site hatuna side kid!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani humu sisi hakuna wapenda pesa, humu sote wapenzi wetu hawatuyumbishi [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatuna mda yaani sio ving'ang'anizi jf watu watakatifuu jamani!!jf wote wamezaliw ndani ya ndoa,jf wadada wa humu hakuna hata mchepuko sote humu tu watu na ndoa zetu au mahusiano imara kabisaa!!raha mustarehe!Wala tulio nao hawatupelekeshi kwa lolote. Wakituzingua tunawaacha right away sababu tuna pesa zetu😛😛😛
Siku mondi akikolezwa na konokono anaanza ooh hawa wote wanangu nawapenda,misa naye dushe likimkolea anaanza mashauzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kikinuka ndo hivyo sasa habari za kuitana sidechick
Ni kweli anawadhalilisha ila bora wanaokataa kudhalilishwaHakuna mwanamke alikua na diamond akakosa kudhalilishwa wote wamepitia hizo phase za vichambo vya diamond
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemuona Wema Jana kwenye party ya Romy kaah!elimu,elimu,elimu nashukuru Mungu darasani nilielewa sikucremu!!kesho anawaambia ashki zenu ndo zimewapeleka njaa mbaya sana!Ni kweli anawadhalilisha ila bora wanaokataa kudhalilishwa
Hadi dada yake Mange Kimambi ameshindwa kumwambia ukweli? Hizi team zinawapotezaga mastaa kwa kuendekeza upambe bila hata kuwakosoaHiyo team ushuzi ndio inamtia kiburi na kumjaza uninga.
Mwanaume anayekupenda hawezi kukufanyia matendo kama anayofanyiwa yeye na huyo baby dady wake
Inzi akiacha ujinga iko siku anaweza tengeza asali
Hahaaa!!ungemuonesha rangi zote!ungemfurahishaaa!hahaaa side kid!!!Mwanaume wa kumwita mwanangu SIDE KID!!
ehehhehhehehehhehehe hakuna rangi angeacha kuona huyo mtu!!
Ila WOOOOIH!!
Ah NINGEMFURAHISHAAAA!!Hahaaa!!ungemuonesha rangi zote!ungemfurahishaaa!hahaaa side kid!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23]ila diamond hapana side kid...I don't know aliwaza nini!naomba Mungu nipewe hekima hii hii!!na nisijepata side kid!!maana yaani kama hamisa atarudi kwa huyu mtu atakua mwehu loohh!Jana kawaita maside chick!Leo kaja na kima na genye zao ndo zimewapeleka kwake hao wanawake wote aliolala nao!!Ah NINGEMFURAHISHAAAA!!
fallopian tubes zangu mama!!
Kwa akili za hamisa mbona atarudi tu![emoji3][emoji16][emoji23][emoji23]ila diamond hapana side kid...I don't know aliwaza nini!naomba Mungu nipewe hekima hii hii!!na nisijepata side kid!!maana yaani kama hamisa atarudi kwa huyu mtu atakua mwehu loohh!Jana kawaita maside chick!Leo kaja na kima na genye zao ndo zimewapeleka kwake hao wanawake wote aliolala nao!!
Mimi nimemchoka huyu kakaa!hahaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app